Hakimiliki ya picha: Getty Images
2023 Travelers Championship
PGA Tour
TPC at River Highlands
Cromwell, Connecticut, USA
22-25 June 2023
Shindano la gofu la
2023 la Travelers Championship linatarajiwa kufanyika TPC, River Highlands, Cromwell, Connecticut, Marekani kati ya tarehe 22 na 25 Juni.
Kuhusu shindano hili
Shindano hili liliasisiwa mwaka 1952 na huandaliwa na kusimamiwa na wakfu wa Greater Hartford Community.
Mwaka 2018, shindano hilo lilipata tuzo la Players Choice kwa mara ya pili mfululizo. Tuzo hili huchaguliwa na wanachama wa PGA Tour kwa vigezo vya huduma zake, idadi ya watu wanaohudhuria na ubora wa mkondo huo.
Cha kufahamu
Wakfu wa Greater Hartford Community umetangaza kuwa Xander Schauffele ni miongoni mwa wachezaji 156 watakaoshiriki huku akitarajiwa kutetea taji lake la Travelers Championship title
Wachezaji 40 waliopo 50 bora ya jedwali rasmi la gofu duniani ni miongoni mwa wachezaji wanaopigiwa upatu kwenye shindano la mwaka huu TPC, River Highlands.
Wanaopigiwa upatu.
Schauffele, Rory McIlroy, Jon Rahm, Scottie Scheffler, Patrick Cantlay, Harris English na Wyndham Clark ni wachezaji wanaotazamiwa kuibuka na taji la mwaka huu 2023 la Travelers Championship.
Mabingwa wa zamani ni pamoja na Chez Reavie (2019), Russell Knox (2016), Kevin Streelman (2014) na Stewart Cink (1997, 2008) ambao vile vile watakuwa washiriki.
Zawadi.
Mshindi wa shindano la gofu la 2023 la Travelers Championship atatuzwa alama 500 za kombe la FedEx na alama 65 za jedwali rasmi la dunia la gofu.
Shindano hilo litakuwa na zawadi ya pesa taslimu dola milioni 20 za kimarekani huku mshindi akiondoka na dola milioni 3.6 na kombe.
Nukuu
Mkurugenzi wa Travelers Championship Nathan Grube anatazamia sana shindano la 2023.
“Hakuna mjadala kwamba ni shindano lenye ushindani mkubwa chini ya mdhamini wa taji hili,” alisema Grube.
“Linafurahisha. Lengo la kuongeza upana wa washiriki katika shindano hili ni kuwaleta pamoja wachezaji wakubwa mara kwa mara. Tumefanikiwa kufanya hivyo.”
Washindi watano wa mwisho wa Travelers Championship.
2018 - Bubba Watson (Marekani)
2019 - Chez Reavie (Marekani)
2020 - Dustin Johnson (Uhispania)
2021 - Harris English (Marekani)
2022 - Xander Schauffele (Marekani)
Bashiri Gofu na Betway
Ingia uwanjani mchomo mmoja ubashiri gofu na Betway. Betway inakuletea matukio yote ya gofu kutoka michuano mikubwa Duniani kote.
Kwa habari zote za michezo, taarifa za kubashiri na promosheni tufuatilie Betway kwenye kurasa zetu za Facebook, Twitter, Instagram na Youtube. Pakua App ya Betway.