Habari za hivi punde za Soka
Habari za hivi punde za Michezo

SIMBA SC KUFIKIA HOTEL HII YA KIFAHARI KWA AJILI YA KAMBI NCHINI UTURUKI

07/07/2023 15:40:15
KWA Lugha rahisi unaweza kusema kambi ya Simba wanayokwenda kuiweka nchini Uturuki ni ya kifahari wakiwa wanajiandaa na msimu 2023/24 ambao wamepanga kufanya maajabu Ligi Kuu na michuano ya kimataifa.
 

F1 - 2023 British Grand Prix

07/07/2023 15:17:27
Mbio za 2023 za British Grand Prix zimepangiwa kufanyika katika mkondo wa Silverstone, Silverstone, England Julai 9.
 

NBA - Safari ya Nuggets kutwaa taji la NBA

07/07/2023 15:10:30
Denver Nuggets ni mabingwa wa ligi ya mpira wa kikapu, National Basketball Association (NBA) msimu 2022/23 ikiwa ni taji lao la kwanza katika historia ya timu hiyo.
 

KUHUSU KUSHUSHA MASTAA WAPYA...MABOSI SIMBA WAPANGA KUFANYA KWELI

05/07/2023 17:00:08
Mabosi wa Simba SC wameweka wazi kuwa maboresho yatakayofanywa kwenye kikosi hicho kwa msimu wa 2023/24.

MKUDE ASHAURIWA AFANYE SHEREHE KUACHWA NA SIMBA

05/07/2023 16:35:48
Mchambuzi mahiri wa soka, Saleh Ally Jembe amesema Klabu ya Simba imemvumilia sana aliyekuwa mchezaji wake

PGA - 2023 John Deere Classic 

05/07/2023 16:32:13
J.T Poston anatarajia kuwa mchezaji wa gofu wa nne kushinda shindano la gofu la John Deere Classic mfululizo baada ya David Frost, Deane Beman na Steve Stricker.