Habari za hivi punde za Soka
Habari za hivi punde za Michezo
21/09/2021 11:00:27
Juventus watakuwa wanatafuta ushindi wa kwanza kabisa katika msimu huu wa 2021/22 wa Ligi kuu ya Italia- Serie A jumatano jioni.
21/09/2021 10:48:42
Cadiz CF itapimana nguvu na FC Barcelona mechi ya ligi kuu ya Uhispania, La liga, katika uwanja wa Ramón de Carranza Stadium tarehe 23 Septemba.
16/09/2021 15:16:04
Mwendeshaji anayeongoza mashindano ya mbio za pikipiki ya 2021 MotoGP Ubingwa wa Dunia Fabio Quartararo anatazamia kurudi kwa kishindo baada ya kupata matokeo mabaya mkondo uliopita wakati mkondo wa 14 wa mashindano hayo San Marino and Rimini Riviera Grand Prix, yatakapofanyika katika uwanja wa Misano World Circuit Marco Simoncelli Jumapili Septemba 19.
16/09/2021 15:05:59
Juventus itapimana nguvu na wababe wenzao AC Milan mechi ya ligi kuu ya Italia Serie A Jumapili tarehe 19 Septemba katika uwanja wa Allianz.
15/09/2021 09:24:35
Tottenham Hotspur watawakaribisha Chelsea Jumapili hii katika mechi ya ligi kuu ya England 2021/22 inayotarajiwa kuwa derby ya London ya kusisimua sana.
14/09/2021 10:08:45
Atletico Madrid itakutana na Athletic Bilbao kwenye Ligi kuu ya Uhispania- La Liga, katika uwanja wa Estadio Wanda Metropolitano Septemba 18.