Hakimiliki ya picha: Getty Images
Atlanta Hawks v Miami Heat
2021-22 NBA Pre-Season
Friday 15 October 2021
State Farm Arena, Atlanta, Georgia
Tip-off at 05:00
The Atlanta Hawks wamejipanga vizuri kukabiliana vikali na timu ya Miami Heat wakati timu hizo mbili zitakutana kwenye mechi ya kujiandaa kwa msimu wa
NBA wa mwaka 2021/2022. Mchezo huo utachezewa ugani State Farm Arena ulioko Atlanta Georgia Ijumaa Oktoba 15 2021 asubuhi saa kumi za afrika ya kati.
Kwenye mechi za kujiandaa msimu ujao, The Hawks wamekuwa na matokeo mseto huku wakipoteza kwa alama nyingi sana dhidi ya Miami Heat, wakapoteza kwa alama chache dhidi ya Cleveland Cavaliers kabla ya kuishinda Memphis Grizzlies wikendi iliyopita. Atlanta ina wachezaji wenye vipawa ikijumuisha Trae Young atakuwa tegemeo kuelekea msimu wa kawaida utakaoanza wiki ijayo.
Photo suggestion: Miami Heat power forward Bam Adebayo
“Alicheza vizuri sana kwa maoni yangu,” alisema De’Andre Hunter, mshambuliaji wa Hawks akimsifia Young. ‘Nasema hivi kwa sababu mimi humuona kila siku. Sijui maoni yenu kuhusu Young yakoje!’
‘Unaweza kumzungumzia utakavyo,’ alisema Landry Fields ambaye ni msaidizi wa meneja mkuu wa Hawks. ‘Anapokuwa uwanjani anajituma sana na kujiweka katika mhemko wa kuipa timu ushindi.

Hakimiliki ya picha: Getty Images
Kwa sasa, The Heat wanaonekana kuwa moja ya timu mahiri sana msimu unapokaribia. Wameonyesha mchezo mzuri mara nyingi na kuweka wazi nia yao ya kutwaa ubingwa wa ligi hiyo. Mchezaji nyota Jimmy Butlers anasema wako tayari kupambana na Milwaukee na timu nyingine kali za Eastern Conference zikiwemo Philadelphia 76ers, Brooklyn Nets na nyenginezo.
‘Hatuogopi timu yoyote,’ alisema Butler. ‘Hatutawai, hatujawai na hatuwezi kufanya hivyo. Lazima tupambane na kila timu zikiwemo The Bucks, The Nets na Philly… hilo tunalifahamu na tuko tayari kupambana nao.’
The Hawks na The Heats wamekutana mara mia moja na thelathini na nane tangu msimu wa 1988/89. Miami amepata ushindi mara sabini na tano huku Atlanta akishinda mara sitini na tatu. Mara ya mwisho timu hizi kukutana ilikuwa Aprili 2021 ambapo Hawks ilishinda kwa alama 118 – 103 ikiwa nyumbani katika msimu wa kawaida.
Michezo baina ya timu hizi mbili
Michezo: 138
Hawks : 63
Heat: 75
Bashiri Mpira wa Kikapu na Betway
Betway inakupa uwezo kubashiri mechi zaidi ya 1,000 kwenye michezo zaidi ya 100. Iwe ni mpira wa miguu,
mpira wa kikapu, rugby au mchezo wowote unaoupenda, utapata machaguo bora yenye odds bora zaidi.
Kwa habari zote za michezo, taarifa za kubashiri na promosheni tufuatilie
Betway kwenye kurasa zetu za
Facebook,
Twitter,
Instagram na
Youtube. Pakua App ya Betway