Kokrak anuia kuandikisha historia


Hakimiliki ya picha: Getty Images

 

2021 CJ Open 

US PGA Tour  

The Summit Club 
Summerlin, Las Vegas, Nevada, USA
14-17 October 2021
 
Jason Kokrak atanuia kuandikisha historia atakapoanza kutetea taji la kombe la CJ linalotazamiwa kung’oa nanga wiki hii.
 
Mchezaji huyu wa golfu kutoka marekani anaingia katika mashindano haya akiwa katika nafasi ya ishirini na tisa kwenye msimamo rasmi wa golfu duniani na akiwa ameshinda mataji mawili ya mashindano ya PGA
 
Kokrak atazamia kuwa mchezaji wa kwanza kutetea taji hili la CJ kwa mafanikio tangu lilipoasisiwa mwaka 2017

Xander Schauffele
Hakimiliki ya picha: Getty Images
 
 
Xander ambaye ni mzaliwa wa Canada alifanya vizuri sana na kupata matokea mazuri mojawapo ya raundi na kufidia mapungufu ya alama tatu za raundi ya kwanza
 
Kwa hivyo, Kokrak alishinda pambano kali dhidi ya Xander Schauffele katika taji lake la kwanza la PGA Tour baada ya miaka tisa na kuanza mara 233.
 
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 36 alianza kucheza kiwango cha juu mwaka 2008 na kisha akashinda taji lake la pili la PGA Tour katika mashindano ya Charles Schwab mei mwaka huu.
 
Kokrak alimshinda Jordan Spieth kwa mapigo mawili katika awamu ya sabini na kunyanyua taji la Charles Schwab. 

Jordan Spieth
Hakimiliki ya picha: Getty Images
 
Suggested Photo: Jordan Spieth in action 
 
“Mimi ni mtu mkubwa, mwenye lori kubwa, mwenye koti kubwa na kipato kikubwa,” alisema Kokrak baada ya mashindano ya mwaka huu ya Charles Schwab ambayo ni ushindi wake wa mwisho PGA Tour. 
 
“Kila mwaka najaribu kuimarika. Sio kazi rahisi. Nina ujasiri mwingi na hari kubwa ya kutaka kufanikiwa.
 
“Tangu nilipoungana na David Robinson miaka minne iliyopita, nilimwambia tutakuwa na mafanikio mengi. Mimi ninao ujuzi wa kuupiga mpira vizuri ilhali wewe ni mjuzi wa kusoma na kuelewa green reader,”. Tutafaana sana.
 
Justin Thomas ndiye mchezaji aliyeshinda mataji mengi katika historia ya CJ Open huku akiwa ameshinda mataji mawili.
 

Washindi wa CJ waliopita

 
2017 - Justin Thomas - USA
2018 - Brooks Koepka - USA 
2019 - Justin Thomas - USA 
2020 - Jason Kokrak - USA 
 

Bashiri Gofu na Betway

Ingia uwanjani mchomo mmoja ubashiri gofu na Betway. Betway inakuletea matukio yote ya gofu kutoka michuano mikubwa Duniani kote.



Kwa habari zote za michezo, taarifa za kubashiri na promosheni tufuatilie Betway kwenye kurasa zetu za FacebookTwitterInstagram na Youtube. Pakua App ya Betway


 

Published: 10/13/2021