Habari za hivi punde za Soka
Habari za hivi punde za Michezo

Venezia kuizamisha zaidi Juventus

07/12/2021 16:39:35
Venezia FC na Juventus watakutana katika mechi ya ligi Disemba 11 kwenye uwanja wa Stadio Pierluigi Penzo.
 

Madrid dhidi ya Inter kuamua mshindi wa kundi D

06/12/2021 17:01:10
Real Madrid wataialika Inter Milan Disemba 7 katika mechi ya ligi klabu bingwa barani ulaya kundi D.
 

Verstappen apania kuendeleza ubabe wake Saudi Arabia

03/12/2021 14:11:12
Max Verstappen wa Red Bull Racing-Honda atakuwa na nia moja tu, kushinda mbio za langalanga Disemba 5 nchini Saudi Arabia.
 

Raptors kukabiliana na The Bucks

03/12/2021 14:04:40
The Toronto Raptors na Milwaukee Bucks watachuana katika mechi kali ya NBA itakaochezewa Scotiabank Arena Toronto, Ontario asubui ya Ijumaa Disemba 3 2021 08:30 majira ya Afrika ya kati.

Arsenal wapania kuizamisha Everton

03/12/2021 13:56:12
Arsenal watanuia kutonesha zaidi kidonda cha Everton katika mechi za ligi msimu huu watakapokutana ugani Goodson Park Jumatatu jioni.

Mashindano ya Hero World Challenge 2021 Kung’oa nanga

02/12/2021 11:09:41
Mashindano ya gofu ya Hero World Challenge ya 2021 yanatazamiwa kufanyika kati ya Disemba 2 na 5 Albany Golf Club, New Providence kule Bahamas.