Hakimiliki ya picha: Getty Images
2022 Australian Open
ATP Tour
Melbourne Park
Melbourne
Australia
17–22 January 2022
Mchezaji numba moja duniani wa tenisi Novak Djokovic anapania kushinda taji la
Australian Open mara ya kumi ambayo itakuwa ni rekodi kwenye shindano la kwanza la Grand Slam la mwaka linazoanza januari 17.
Vile vile, anapania kushinda taji hilo kwa mara ya nne mfululizo jambo ambalo hajawai kufanikiwa kufanya.
Hakimiliki ya picha: Getty Images
Hii itakuwa ni mara ya 17 mfululizo kwa Novak Djokovic Melbourne Park tangu alipocheza mara ya kwanza mwaka 2005 ambapo aliondolewa katika roundi ya kwanza.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 34 ameshinda mataji 86 akicheza kama mchezaji binafsi huku 20 kati ya hayo yakiwa ya Grand Slam. Hii ni rekodi anayoshikilia kwa pamoja na Rafael Nadal. Anashikilia rekodi ya kuwa mchezaji namba moja kwa wiki nyingi, akishikilia rekodi hiyo kwa wiki 353.
Kushiriki kwake mwaka huu kulitiliwa shaka baada ya kuzuiliwa na maafisa wa uhamiaji Australia kutokana na kutotosheleza matakwa ya kupata chanjo kwa wanaoingia katika taifa hilo. Visa yake pia ilifutiliwa mbali.
Hakimiliki ya picha: Getty Images
Hii ilitokea licha ya kuruhusiwa kuingia Australia na bodi ya tenisi Australia pamoja na idara ya afya ya jimbo la Victoria hata baada ya kupata maambukizi ya corona Disemba 16 2021.
Hata hivyo, mahakama ilitoa hukumu na kumuunga mkono na akatoa kauli hii, “nataka kuzungumzia uvumi unaoendelea kusambaa kuhusu mimi kuhudhuria sehemu tofauti mwezi Disemba kabla ya kupatikana na maabukizi ya Korona.
"Huu ni uvumi unaotakiwa kusahahishwa hasa kuwaondoa hofu wenye hofu na uwepo wangu nchini Australia na pia kutuliza maumivu yaliyosababishiwa familia yangu.”
Washindi 5 wa mwisho wa Australian Open
2021 - Novak Djokovic (Serbia)
2020 - Novak Djokovic (Serbia)
2019 - Novak Djokovic (Serbia)
2018 - Roger Federer (Uswizi)
2017 - Roger Federer (Uswizi)
Sabine Appelmans chats with Betway
The Betway team sat down with Belgium tennis star Sabine Appelmans and chatted about her toughest oppents on the court. Take a look at what she had to say.
Bashiri tenisi mtandaoni
Bashiri manguli kwenye michuano bora ya tenisi kutoka Wimbledon hadi Roland Garros. Jisajili leo na anza kubashiri kwenye machaguo tofauti ambayo tenisi inakupatia; kutoka 1x2 matokeo ya mechi, bashiri kwa mchezaji wako unayempenda hadi kwenye bashiri nyingi kama Mshindi wa Set. Chochote unachochagua kufanya, Betway ina chaguo kwaajili yako.
Kwa habari zote za michezo, taarifa za kubashiri na promosheni tufuatilie
Betway kwenye kurasa zetu za
Facebook,
Twitter,
Instagram na
Youtube. Pakua App ya Betway