Heat kumenyana vikali Lakers


Hakimiliki ya picha: Getty Images

 

Miami Heat v Los Angeles Lakers

2021-22 NBA Regular Season

Monday 24 January 2022
FTX Arena, Miami, Florida
Tip-off at 01:00  
 
The Miami Heat na Los Angeles Lakers watakutana katika mechi ya kukata na shoka ya NBA ugani FTX Arena in Miami, Florida jumatatu asubui januari 24 2022. Mechi itaanza saa saba asubui majira ya afrika ya kati. 
 
The Heat wanafanya vizuri sana Eastern Conference huku wakipambana vikali na Chicago Bulls, Brooklyn Nets na Milwaukee Bucks atakaye maliza katika nafasi ya kwanza. Wikendi iliyopita wakiwa nyumbani waliichapa Atlanta Hawks 124-118.

Lebron James
Hakimiliki ya picha: Getty Images
 
 
"Napenda umoja uliopo kwenye kikosi hiki,” alisema kocha wa Heat Erik Spoelstra huku nyota wa timu hiyo Jimmy Butler akiongeza, “mchezo unapokuwa mgumu, tunao wachezaji wenye uwezo binafsi wanaotusaidia sana
Miami wanategemea kuwa mchezaji Bam Adebayo atakuwa amepona jeraha wiki hii. “Adebayo amekuwa akifanya mazoezi mara tatu kwa siku. Ana nguvu za ajabu,” alisema Spoelstra. “Atarejea hivi karibuni.”  
 
Kwa upande mwingine, The Lakers wapo katika nafasi za katikati mwa Western Conference huku wakiandikisha matokeo mesto tangu msimu ulipoanza. Wiki iliyopita walishindwa 125-116 na Sacramento Kings matokeo ambayo yalisisitiza ukosefu wa udhabiti kwa upande wao wakati huu.

Tyler Herro
Hakimiliki ya picha: Getty Images
 
 
"Umekuwa sio msimu mzuri sana kwetu,” alisema LeBron James. “Walicheza kwa kasi kubwa katika robo ya tatu. Hatukuweza kuwamudu.” 
 
"Katika mchezo wa pili mfululizo safu yetu ya ulinzi imetuangusha,” kocha wa Lakers Frank Vogel alisema. “Ni sharti tuchambue mbinu zetu na kuelewa ni kitu gani tunatakiwa kufanya tukiwa katika hali hii.” 
 
Takwimu zinaonyesha kuwa Heat na Lakers wamekutana mara 67 katika mechi za NBA tangu 1988-89. Los Angeles wameshinda mara 38 huku Miami wakishinda mara 29. 
 
Mara ya mwisho kukutana katika NBA ilikuwa novemba 2021 ambapo Lakers walishinda 120-117 wakiwa nyumbani katika muda wa ziada. Malik Monk na Russell Westbrook walichangia alama 27 na 25 mtawalia.
 

Takwimu baina ya Miami Heat na LA Lakers katika mechi za NBA

Mechi: 67
Heat: 29
Lakers: 38

 

Bashiri Mpira wa Kikapu na Betway


Betway inakupa uwezo kubashiri mechi zaidi ya 1,000 kwenye michezo zaidi ya 100. Iwe ni mpira wa miguu, mpira wa kikapu, rugby au mchezo wowote unaoupenda, utapata machaguo bora yenye odds bora zaidi.




Kwa habari zote za michezo, taarifa za kubashiri na promosheni tufuatilie Betway kwenye kurasa zetu za FacebookTwitterInstagram na Youtube. Pakua App ya Betway.


 

Published: 01/20/2022