Habari za hivi punde za Soka
Habari za hivi punde za Michezo

Milan na Juventus kutoana jasho

18/01/2022 15:21:38
AC Milan na Juventus watachuana vikali katika mechi ya ligi januari 23 ugani Stadio Giuseppe Meazza.
 

Djokovic apania kushinda tuzo la nne mfululizo

14/01/2022 16:11:52
Mchezaji numba moja duniani wa tenisi Novak Djokovic anapania kushinda taji la Australian Open mara ya kumi ambayo itakuwa ni rekodi kwenye shindano la kwanza la Grand Slam la mwaka linazoanza januari 17.
 

Valencia na Sevilla kumenyana katika mechi kali ya La liga

14/01/2022 13:20:10
Valencia CF atakuwa mwenyeji wa Sevilla FC katika mechi ya La liga januari 19 ugani Estadio de Mestalla. 
 

Hornets kuikabili Orlando

13/01/2022 15:33:24

Charlotte Hornets watakabiliana na Orlando Magic katika mechi ya NBA ugani Spectrum Center, Charlotte katika jimbo la North Carolina. Mechi hiyo itang’oa nanga jumamosi asubui januari 15 2022 saa nane kamili majira ya afrika ya kati.

Na kutetea taji lake Waialae Country Club, Hawaii

13/01/2022 15:25:27
Kevin Na atatetea taji lake la Sony Open, Hawaii katika shindano litakalojumuisha washindi 10 wa zamani. 
 

Manchester City kuendeleza ubabe wao

13/01/2022 15:16:52
Manchester city watakuwa mwenyeji wa Chelsea katika mechi ya ligi ugani Etihad kunako januari 15 huku wakipania kuendeleza ubabe wake kwenye ligi.