Habari za hivi punde za Soka
Habari za hivi punde za Michezo
09/02/2022 14:45:44
Mashindano ya golfu ya Phoenix Open 2022 yanatazamiwa kuchezwa kati ya tarehe 10 na 13 Februari, TPC Scottsdale - Stadium Course Arizona nchini Marekani.
09/02/2022 14:26:28
SSC Napoli watakuwa mwenyeji wa Inter Milan ugani Stadio Diego Armando Maradona katika mechi ya ligi Februari 12.
09/02/2022 14:15:27
Manchester United watanuia kuendeleza ubabe wao dhidi ya Southampton watakapokutana katika mechi ya ligi ugani Old Trafford Jumamosi Februari 12.
09/02/2022 13:58:26
Villarreal CF atakuwa mwenyeji wa Real Madrid ugani Estadio de la Cerámica Februari 12 katika mechi ya ligi.
04/02/2022 13:59:15
Senegal na Misri watapambana katika mechi kali ya fainali kusaka mshindi wa taji la AFCON 2021 katika uwanja wa Omnisport Paul Biya Februari 6.
03/02/2022 14:44:45
AC Milan wanapania ushindi dhidi ya Inter milan watakapokutana katika debi ya della Madonnina ugani San Siro Jumamosi Februari 5, ambao utakuwa ni mchezo wa 230 baina ya timu hizi mbili.