Habari za hivi punde za Soka
Habari za hivi punde za Michezo
03/03/2022 09:31:43
Bingwa mtetezi wa dunia wa Yamaha Fabio Quartararo anatarajia kushinda Qatar Grand Prix kwa mara ya kwanza mashindano ya 2022 MotoGP yatakapong’oa nanga Jumapili Machi 6.
03/03/2022 09:27:11
Shindano la 2022 Arnold Palmer Invitational litang’oa nanga Orlando, katika jimbo la Florida nchini Marekani katika ya tarehe 3 na 6 Machi.
03/03/2022 09:22:22
Machi 6 Jumapili, Manchester City wataialika Manchester United ugani Etihad kwenye mchezo wa ligi, na ambao utakuwa ni debi ya 187 baina ya timu hizi.
01/03/2022 16:50:00
SSC Napoli watakuwa mwenyeji wa AC Milan katika mechi ya Serie A ugani Stadio Diego Armando Maradona mnamo Machi 6.
01/03/2022 16:35:52
Real Madrid watakuwa mwenyeji wa Real Sociedad kwenye mechi ya ligi Estadio Santiago Bernabéu mnamo Machi 5.
25/02/2022 13:19:13
The New York Knicks na Philadelphia 76ers watafufua uhasama wao kwenye mechi ya NBA katika ukumbi wa Madison Square Garden, New York City jioni ya Februari 27 2022 Jumapili. Mechi inatazamiwa kung’oa nanga majira ya saa mbili kamili saa za Afrika ya kati.