Habari za hivi punde za Soka
Habari za hivi punde za Michezo

Shindano la gofu la Masters 2022 kung’oa nanga

06/04/2022 11:47:09
Shindano la gofu la Masters 2022 linatarajiwa kuchezewa Augusta National Golf Club kati ya tarehe 7 na 10 Aprili.
 

Madrid wako tayari kusimamisha Getafe iliyoimarishwa

05/04/2022 16:18:05
Real Madrid watamwalika Getafe CF Estadio Santiago Bernabéu Aprili 9 katika mechi ya ligi kuu Uhispania, La liga.
 

Chelsea na Madrid kutoana kijasho

04/04/2022 15:48:38
Chelsea FC watakutana na Real Madrid kwenye mechi ya UEFA hawamu ya robo fainali mkondo wa kwanza, Aprili 6. 
 

Bastianini alilia mazingira bora Argentine GP

01/04/2022 14:43:14
Bastianini wa Gresini anapania kuendeleza ushindi katika mbio za pikipiki za Argentine Grand Prix, raundi ya tatu itakapong’oa nanga Jumapili Aprili 3.
 

Cavs wapania ushindi wa tatu mfululizo dhidi ya Knicks

01/04/2022 14:35:24
The Cleveland Cavaliers watapania kuendeleza msururu wao wa matokeo mazuri watakapochuana na New York Knicks katika ukumbi wa Madison Square Garden jioni ya Jumamosi tarehe 2 Aprili.
 

Spieth apania kutetea taji la Valero Texas Open

01/04/2022 14:17:25
Jordan Spieth anapania kutetea taji la shindano la gofu la Valero Texas Open kwa mafanikio kule TPC San Antonio na kujiunga na wachezaji wakubwa wa gofu.