Habari za hivi punde za Soka
Habari za hivi punde za Michezo
03/02/2022 13:48:49
The Los Angeles Clippers na Los Angeles Lakers watakutana katika debi ya LA mchezo wa kikapu, ugani Crypto.com Arena in L.A. California asubui ya Ijumaa Februari 4 2022. Mchezo utaanza saa kumi na moja asubui majira ya Afrika ya kati.
01/02/2022 14:57:39
Shindano la 2022 AT&T Pebble Beach Pro-Am la golfu litachezwa kwenye mikondo mitatu tofauti kati ya tarehe 3 na 6 Februari.
01/02/2022 14:50:24
Leicester wanatazamia kuwashinda Liverpool kwa mara ya pili msimu huu katika mechi za ligi watakapokutana Februari 10 uwanjani Anfield.
01/02/2022 14:35:37
FC Barcelona watakuwa mwenyeji wa Atletico Madrid ugani Camp Nou katika mechi ya ligi mnamo Februari 6.
01/02/2022 14:25:58
Cameroon na Misri watamenyana vikali katika mechi ya nusu fainali ya shindano la AFCON 2021 Februari 3.
28/01/2022 15:01:36
Misri itapambana na majirani wake kaskazini mwa Afrika, Morocco katika shindano la AFCON 2021 kwenye mchezo wa robo fainali mnamo Januari 30.