Hakimiliki ya picha: Getty Images
2021 Africa Cup of Nations (AFCON)
Semi-Final
Cameroon v Egypt
Stade Omnisport Paul Biya
Yaoundé, Cameroon
Thursday, 3 February 2022
Kick-off is at 22h00
Cameroon na Misri watamenyana vikali katika mechi ya nusu fainali ya shindano la
AFCON 2021 Februari 3.
Simba wa Cameroon walishinda Gambia 2-0 katika mechi ya robo fainali iliyochezwa Januari 29.
Katika shindano hili hadi kufikia sasa, Cameroon wameshinda mechi nne na kupata sare moja katika mechi tano walizocheza.
Hakimiliki ya picha: Getty Images
The Indomitable Lions, kama wanavyofahamika timu ya Cameroon, waliwashinda Burkina Faso, Ethiopia, Comoros na The Gambia kabla ya kutoka sare na Cape Verde
“Nimefurahishwa na wachezaji wangu waliofuata maagizo na kushinda mechi licha ya nafasi walizokosa kipindi cha kwanza,” alisema mkufunzi Antonio Conceiçao baada ya timu yake kuishinda The Gambia.
"Katika mechi hii, safu ya ulinzi na ushambuliaji walishirikiana ipasavyo na kuwadhibiti wapinzani bila shida nyingi. Tumeonyesha mchezo mzuri sana dhidi ya timu nzuri ya The Gambia na hilo limenifurahisha. Hatukubadilisha chochote kuhusu mbinu zetu bali tulizitekeleza kwa weledi mkubwa.
"Tukiangazia hawamu ya nusu fainali, ninachowazia san ani hali ya wachezaji wangu. Mchezo ulikuwa mgumu na wamepata uchovu mwingi. Tutapumzika kisha tutachambua mpinzani tunayemtarajia na kuweka mbinu za jinsi tutakavyocheza mechi hiyo. Nimefurahishwa na wachezaji wangu.”
Kwingineko Misri waliibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya Morocco katika mechi nyingine ya robo fainali iliyochezwa mnamo Januari 30.
The Pharaohs hawajapoteza mechi yoyote katika mechi nne zilizopita za AFCON. Wameshinda mechi zote nne mfululizo.
Taifa hilo kutoka Kaskazini mwa Afrika lilianza AFCON 2021 kwa kupoteza mechi dhidi ya Nigeria lakini baada ya mechi hiyo sasa wameshinda dhidi ya Guinea-Bissau, Sudan, Ivory Coast na Morocco.
Mataifa haya mawili yalikutana mara ya mwisho Februari 5 2017.
The Indomitable Lions walipata ushindi wa 2-1 katika mechi hiyo ya fainali ya AFCON 2017 iliyochezewa ugani Stade d'Angondjé, Gabon.
Takwimu baina ya Misri na Cameroon katika mechi 27
Cameroon - 6
Misri- 15
Sare - 6
Jisajili na Betway, burudika na kila tukio na amsha amsha ukibashiri kwenye ligi za mpira wa miguu kama;
Ligi Kuu ya Uingereza, La Liga, Ligi ya Mabingwa Ulaya na mengi zaidi.
Kwa habari zote za michezo, taarifa za kubashiri na promosheni tufuatilie
Betway kwenye kurasa zetu za
Facebook,
Twitter,
Instagram na
Youtube. Pakua App ya Betway.