Hakimiliki ya picha: Getty Images
2022 FIA Formula One World Championship
2022 Bahrain Grand Prix
Bahrain International Circuit
Sakhir, Bahrain
Sunday, 20 March 2022
Mwendeshaji wa Mercedes Lewis Hamilton anatazamia kushinda mbio za
Bahrain Grand Prix kwa mara ya sita, ambayo itakuwa ni rekodi mnamo Machi 20, katika msimu wa 2022 wa Formula One.
Hamilton mwenye umri wa miaka 37 tayari ameshinda zaidi katika mkondo wa Bahrain International Circuit kuliko dereva mwingine yeyote na sasa anapania kumaliza wa kwanza huko Sakhir kwa mwaka wa nne mfululizo.
Hakimiliki ya picha: Getty Images
Hamilton alikosa taji la nane mwaka 2021 aliposhindwa katika mbio za mwisho kule Abu Dhabi na Max Verstappen.
Muingereza huyo alimaliza kwenye nafasi za jukwaani katika mbio zote isipokuwa katika mbio tano tu mwaka jana na kushinda katika mbio saba.
Hakimiliki ya picha: Getty Images
Gari jipya la kampuni ya Mercedes ilikuwa na hitilafu wakati wa majaribio lakini dereva Hamilton anasisitiza kuwa timu yake bado ina uwezo mkubwa.
"Majaribio yamekuwa na changamoto zake,” alisema. “Kuna magari mengi yaliyoonekana kuwa na kasi.
"Alfa Romeo walikuwa na kasi, Valtteri Bottas vile vile alikuwa na kasi. was looking quick. Red Bull wanaonekana kuwa na kasi sana muda huu bila kusahau Ferrari. Zaidi ya yote, hakuna ubishi timu yetu ndiyo timu bora zaidi.
Matokeo ya mbio za Bahrain Grand Prix 2022
Mshindi: Lewis Hamilton - Mercedes
Nfasi ya pili: Max Verstappen - Red Bull Racing-Honda
Nafasi ya tatu: Valtteri Bottas - Mercedes
Bashiri Motosport na Betway
Betway inakupa uwezo kubashiri mechi zaidi ya 1,000 kwenye michezo zaidi ya 100. Iwe ni soka, motorsport, mpira wa kikapu, rugby au mchezo wowote unaoupenda, utapata machaguo bora yenye odds bora zaidi.
Kwa habari zote za michezo, taarifa za kubashiri na promosheni tufuatilie Betway kwenye kurasa zetu za Facebook, Twitter, Instagram na Youtube. Pakua App ya Betway.