Hakimiliki ya picha: Getty Images
2021/22 Spanish La Liga
Matchday 27
Real Madrid v Real Sociedad
Estadio Santiago Bernabéu
Madrid, Spain
Saturday, 5 March 2022
Kick-off is at 23h00
Real Madrid watakuwa mwenyeji wa Real Sociedad kwenye
mechi ya ligi Estadio Santiago Bernabéu mnamo Machi 5.
The Whites walipata ushindi mwembamba wa 1-0 dhidi ya Rayo Vallecano katika mechi ya ligi iliyochezwa Februari 26.
Madrid wameshinda mechi nne na kupata sare katika mechi mbili kwenye mechi sita za ligi zilizopita.
Hakimiliki ya picha: Getty Images
Vile vile, Madrid hawajapoteza mechi yoyote katika mechi 23 za ligi walizocheza wakiwa nyumbani huku wakiandikisha ushindi mara 16 na kupata sare 7 wakiwa wenyeji.
"Nimefurahishwa na jinsi timu hii inavyojituma, weledi na ukakamavu ulioonyeshwa na timu nzima,” meneja wa Madrid Carlo Ancelotti alisema baada ya ushindi dhidi ya Vallecano.
"Mazingira, uwanja na wapinzani wetu hawakuwa rahisi. Kila kitu kilikuwa changamoto na ndio maana kwa vyovyote vile matokeo yalifaa sana.
"Sidhani kuna timu nyingi zilizokuja hapa na kushinda kwa magoli mengi. Tulielewa hilo na tulipambana vyema.”
Hakimiliki ya picha: Getty Images
Kwa upande mwingine, Sociedad walipata ushindi wa 1-0 dhidi ya CA Osasuna wakiwa nyumbani katika mechi iliyochezwa Februari 27.
Huu ulikuwa ushindi wa pili wa Sociedad katika mechi tatu za ligi zilizopita, huku mchezo wa tatu ukiishia kwa kushindwa.
Sociedad hawajashinda mechi yoyote kati ya mechi tano za ligi za mwisho wakiwa ugenini huku wakiandikisha sare mara mbili na kushindwa katika mechi tatu.
Mechi ya mwisho baina ya Madrid na Sociedad katika ligi ilikuwa Disemba 4 2021.
Madrid walipata ushindi wa 2-0 dhidi ya Sociedad kwenye mechi hiyo iliyoandaliwa ugani Anoeta Stadium, unaofahamika Reale Arena kwa sasa kutokana na sababu za ufadhili.
Takwimu baina ya timu hizi katika mechi tano za ligi zilizopita
Mechi - 5
Madrid - 3
Sociedad - 0
Sare - 2
Jisajili na Betway, burudika na kila tukio na amsha amsha ukibashiri kwenye ligi za mpira wa miguu kama;
Ligi Kuu ya Uingereza, La Liga, Ligi ya Mabingwa Ulaya na mengi zaidi.
Kwa habari zote za michezo, taarifa za kubashiri na promosheni tufuatilie
Betway kwenye kurasa zetu za
Facebook,
Twitter,
Instagram na
Youtube. Pakua App ya Betway.