Hakimiliki ya picha: Getty Images
2021/22 Italian Serie A
Matchday 28
SSC Napoli vs AC Milan
Estadio Diego Armando Maradona
Naples, Italy
Sunday, 6 March 2022
Kick-off is at 22h45
SSC Napoli watakuwa mwenyeji wa AC Milan katika mechi ya
Serie A ugani Stadio Diego Armando Maradona mnamo Machi 6.
The Little Donkeys waliishinda SS Lazio 2-1 wakiwa ugenini katika mechi ya ligi iliyochezwa Februari 27. away in their last league match which was played on February 27.
Napoli wameshinda mechi tano na kupata sare katika mechi tatu kwenye mechi nane za ligi zilizopita.
Hakimiliki ya picha: Getty Images
Vile vile, Napoli hawajashindwa wakiwa nyumbani katika mechi tatu za ligi zilizopita huku wakiandikisha ushindi mara mbili mfululizo na sare katika mechi moja.
Kwengineko, Milan walitoka sare ya 1-1 na Udinese Calcio wakiwa nyumbani katika mechi iliyochezwa Februari 25.
Milan hawajashindwa katika mechi tano zilizopita huku wakiandikisha sare tatu na kupata ushindi mara mbili mfululizo.
Vile vile, Milan hawajapoteza mechi yoyote katika michezo sita ya ligi wakiwa ugenini huku wakiandikisha sare mbili na ushindi mara nne.
Hakimiliki ya picha: Getty Images
"Tulilegea sana na kuacha kushambulia, tuliwapa nguvu wapinzani wetu. Hili tumerudia mara kadhaa kwenye mechi zilizopita,” alisema meneja wa Milan Stefano Pioli baada ya mechi dhidi ya Udinese.
"Tunahitaji kuimarika. Tumezoea kucheza mchezo wa kushambulia. Kwa ufupi, iwapo utalegea mpinzani atakuadhibu. Tulikuwa na nafasi ya kupata matokeo na tutafanya hivyo kwenye mechi inayofuata.
“Timu bado ni changa. Ni sharti tuwakinge kutokana na shinikizo zozote. Tuna bahati kuwa nao. Watapata uzoevu kadri wanavyocheza zaidi.”
Mara ya mwisho Napoli na Milan kukutana katika ligi ilikuwa Disemba 19 2021
Napoli waliishinda Milan 1-0 katika mechi iliyochezewa Stadio Giuseppe Meazza ambayo pia inajulikana kama San Siro.
Takwimu baina ya timu hizi kwenye mechi 5 za mwisho za ligi
Mechi - 5
Napoli - 2
Milan - 1
Sare - 2
Jisajili na Betway, burudika na kila tukio na amsha amsha ukibashiri kwenye ligi za mpira wa miguu kama;
Ligi Kuu ya Uingereza, La Liga, Ligi ya Mabingwa Ulaya na mengi zaidi.
Kwa habari zote za michezo, taarifa za kubashiri na promosheni tufuatilie
Betway kwenye kurasa zetu za
Facebook,
Twitter,
Instagram na
Youtube. Pakua App ya Betway.