Habari za hivi punde za Soka
Habari za hivi punde za Michezo
25/01/2023 17:15:06
SSC Napoli itakuwa mwenyeji wa AS Roma kwenye mechi ya ligi kuu Italia ugani Stadio Diego Armando Maradona Januari 29.
20/01/2023 11:05:39
Toronto Raptors na Boston Celtics watakutana katika mechi ya ligi ya mpira wa kikakpu, the National Basketball Association (NBA) Januari 22.
20/01/2023 10:56:25
Juventus FC itakabana koo na Atalanta BC katika mechi ya ligi kuu nchini Italia ugani Allianz Stadium Januari 22.
20/01/2023 10:24:54
Liverpool watakuwa wenyeji wa Chelsea ugani Anfield katika mechi ya ligi mnamo Januari 21 siku ya Jumamosi.
11/01/2023 14:11:24
Bingwa mtetezi wa shindano la gofu la Sony Open in Hawaii Hideki Matsuyama anatarajiwa kushiriki shindano la mwaka huu 2023 kule Hawaii huku akitazamia kuwa mchezaji wa kwanza kushinda shindano hilo mara mbili mfululizo tangu Jimmy Walker mwaka 2014 na 2015.
11/01/2023 13:45:12
SSC Napoli watakuwa mwenyeji wa Juventus FC katika mechi ya ligi kuu Italia ugani Stadio Diego Armando Maradona Januari 13.