Habari za hivi punde za Soka
Habari za hivi punde za Michezo

Morocco wapania historia zaidi dhidi ya Ureno

09/12/2022 18:04:53
Morocco inalenga kuwa timu ya kwanza kutoka Afrika kufika hatua ya nusu fainali ya kombe la dunia watakapo kabiliana na Ureno ugani Al Thumama, Doha Desemba 10 Jumamosi.
 

Macho yote kuangazia shindano la 2022 la Alfred Dunhill Championship

07/12/2022 11:04:13
Shindano la gofu la mwaka 2022 la Alfred Dunhill Championship linatarajiwa kufanyika Malelane, Afrika Kusini kati ya tarehe 8 na 11 mwezi Desemba.
 

76ers na nia ya ushindi dhidi ya Lakers

07/12/2022 10:43:07
Philadelphia 76ers itamenyana na Los Angeles Lakers katika mechi ya ligi ya National Basketball Association (NBA) mnamo Desemba 10.
 

Ufaransa kwenye kibarua kigumu dhidi ya Poland

02/12/2022 00:16:34
Katika azma ya kutetea taji la kombe la dunia, Ufaransa itakabiliana na Poland Jumapili Desemba 4 kwenye mechi ya hatua ya 16.
 

Celtics watarajia kuendeleza ubabe dhidi ya Heat

01/12/2022 14:16:21
Boston Celtics watamenyana na Miami Heat katika mechi ya ligi ya kikapu, National Basketball Association (NBA) mnamo Desemba 3.
 

Shindano la gofu Hero World Challenge 2022 kung’oa

01/12/2022 11:23:27
Shindano la 2022 Hero World Challenge la gofu litafanyika Albany, New Providence, The Bahamas kati ya tarehe 1 na 4 Desemba.