Jiandae na mwezi wa pira biriani, Februari! Wakati ligi zote kubwa duniani zikipamba moto, na vilabu vikubwa vikichuana kuwania taji.
Kwenye
Ligi Kuu ya Uingereza, Manchester City na Arsenal wanachuana kuwania taji, wakati Manchester United, Newcastle naTottenham wanapambana kumaliza top four.
Mashabiki
mpira wa kikapu watakuwa na mwezi wa burudani mwanzo mwisho! Wenyewe wanasema huu ndio mwezi wa kikapu huku All-Star Weekend imekaribia, tunaburudani kwaajili ya kila shabiki.
Hapo hapo kwenye All-Star Weekend, mbio kwaajili ya mtoano zinashika kasi wakati timu zikichuana vikali kwaajili ya nafasi hizo. Zikiwa zimebakia wiki chache kabla ya msimu kumalizika, kila mchezo ni muhimu na mashabiki wanatarajia kuona mechi kali.
Sio ya kukosa:
Chomoka na Odds na ushinde zawadi kubwa​
Siku 60 za kwanza za Chomoka Odds zimekamilika, lakini msimu wa soka ndio kwanza umeanza, bado una nafasi ya kushinda pesa taslimu na Free Bet kila wiki, na bila shaka, zawadi kubwa ya Vifaa vya Nyumbani ikiwemo Tv, home theatre, jiko na mashine ya kufulia.
Jisajili na Betway, burudika na kila tukio na amsha amsha ukibashiri kwenye ligi za mpira wa miguu kama;
Ligi Kuu ya Uingereza, La Liga, Ligi ya Mabingwa Ulaya na mengi zaidi.
Kwa habari zote za michezo, taarifa za kubashiri na promosheni tufuatilie
Betway kwenye kurasa zetu za
Facebook,
Twitter,
Instagram na
Youtube. Pakua App ya Betway.