Habari za hivi punde za Soka
Habari za hivi punde za Michezo
04/11/2022 10:33:44
Milwaukee Bucks na Oklahoma City Thunders watakabana koo kwenye mechi ya NBA Novemba 6.
04/11/2022 09:59:15
Mwendeshaji wa timu ya Ducati Lenovo Francesco Bagnaia anahitaji kumaliza katika nafasi ya 13 au juu kwenye mbio za Valencian Community Grand Prix Jumapili ya Novemba 6 ili kutawazwa bingwa wa dunia wa shindano la 2022.
03/11/2022 13:07:07
Novemba ni mwezi wa burudani katika soka la kimataifa, wakati Kombe la Dunia linatarajiwa kutimua vumbi tarehe 20. Ligi Kuu ya Uingereza Serie A na MTN8 bado zinapigwa kama kawa.
02/11/2022 15:37:34
Arsenal watakuwa wageni ugani Stamford Bridge kukabiliana na Chelsea kwenye mechi ya ligi Jumapili Novemba 6 wakiwa na nia ya kuzidi kushikilia nafasi ya kwanza kwenye jedwali.
31/10/2022 17:06:57
Juventus watamenyana na Paris Saint Germain kwenye mechi ya klabu bingwa ulaya kundi H Novemba 2.
29/10/2022 16:14:24
Manchester City watakuwa na nafasi ya kuongoza jedwali la ligi japo kwa muda watakaposafiri kuikabili Leicester Oktoba 29, Jumamosi.