Juventus wapania ushindi dhidi ya PSG licha ya kubanduliwa


Hakimiliki ya picha: Getty Images

 

2022/23 UEFA Champions League 

Group H 

Juventus FC v Paris Saint Germain (PSG)

Allianz Stadium 
Turin, Italy
Wednesday, 2 November 2022
Kick-Off 23h00 
 
Juventus watamenyana na Paris Saint Germain kwenye mechi ya klabu bingwa ulaya kundi H Novemba 2.
 
Miamba hao wa Italia waliambulia kichapo cha 4-3 ugenini dhidi ya SL Benfica kwenye mechi yao ya mwisho ya shindano hili, kundi H Oktoba 25.
 
Juventus hawajapata ushindi wowote kwenye mechi mbili zilizopita za shindano hili huku wakishindwa mechi mbili mfululizo.

Massimiliano Allegri
Hakimiliki ya picha: Getty Images
 
 
Mabingwa hao wa zamani wa Italia walipata ushindi dhidi ya mabingwa wa ligi ya Israeli Maccabi Haifa kwenye mchezo wao wa mwisho wa shindano hili wakiwa nyumbani, ushindi uliofikisha kikomo msururu wa mechi mbili za shindano hili bila ushindi wakiwa nyumbani.
 
"Mwanzoni mwa mechi, Benfica walicheza kwa kasi sana lakini tulirudi kwa kusudi na kuonyesha uwezo wetu kipindi cha pili,” alisema meneja wa Juventus Massimiliano Allegri baada ya kushindwa na Benfica.
 
"lakini tulikuwa tumeshazidiwa hadi kufikia sehemu hiyo ya mechi. Inauma kuondolewa kwenye shindano hili lakini tutakubali. Tutaelekeza nguvu zetu katika kufuzu shindano la Europa Jumatano ijayo.
 
"Tungefurahi kuwa tukicheza mechi yenye malengo tofauti Jumatano ijayo. Vijana waliopata fursa ya kucheza leo wanazidi kupata uzoefu. Wana uchu na hawana uoga. Tutanufaika sana kutokana na manufaa haya.”

Lionel Messi
Hakimiliki ya picha: Getty Images
 
 
Kwingineko, PSG walipata ushindi mnono wa 7-2 dhidi ya Haifa kwenye mechi iliyopita ya kundi H ya Oktoba 25.
 
Mabingwa hao wa Ufaransa hawajashindwa kwenye mechi tano zilizopita za shindano hili huku wakiandikisha ushindi mara tatu na sare mbili.
 
Vile vile, PSG hawajashindwa kwenye mechi mbili za mwisho za shindano hili wakiwa ugenini baada ya kuandikisha ushindi mmoja na sare moja.  
 
Hii itakuwa ni mara ya kwanza kwa Juventus kuwa mwenyeji wa PSG kwenye mechi ya UEFA Champions League. 
 
PSG walipata ushindi wa 2-1 dhidi ya Juventus kwenye mechi ya kundi H iliyochezewa kwenye uwanja maarufu, Parc des Princes Septemba 6 2022.
 

Takwimu baina ya timu hizi kwenye mechi za UEFA.

Mechi - 1
Juventus - 0
PSG - 1 
Sare - 0
 

Ratiba ya mechi ya UEFA Champions League mchezo wa sita.

 
Novemba 1 Jumanne
 
8:45pm - FC Porto v Atletico Madrid 
8:45pm - Bayer Leverkusen v Club Brugge 
11:00pm - Liverpool FC v SSC Napoli 
11:00pm - Rangers FC v Ajax Amsterdam 
11:00pm - Bayern Munich v Inter Milan 
11:00pm - Viktoria Plzen v FC Barcelona 
11:00pm - Sporting Lisbon v Eintracht Frankfurt 
11:00pm - Olympique Marseille v Tottenham Hotspur

Novemba 2 Jumatano

8:45pm - Real Madrid v Celtic FC 
8:45pm - Shakhtar Donetsk v RB Leipzig
11:00pm - Chelsea FC v Dinamo Zagreb
11:00pm - AC Milan v RB Salzburg 
11:00pm - Manchester City v Sevilla FC 
11:00pm - FC Copenhagen v Borussia Dortmund
11:00pm - Juventus FC v Paris Saint Germain (PSG)
11:00pm - Maccabi Haifa v SL Benfica 
 

Chomoka na Odds na ushinde zawadi kubwa​

Siku 60 za kwanza za Chomoka Odds zimekamilika, lakini msimu wa soka ndio kwanza umeanza, bado una nafasi ya kushinda pesa taslimu na Free Bet kila wiki, na bila shaka, zawadi kubwa ya Vifaa vya Nyumbani ikiwemo Tv, home theatre, jiko na mashine ya kufulia.Chomoka na Odds


Jisajili na Betway, burudika na kila tukio na amsha amsha ukibashiri kwenye ligi za mpira wa miguu kama; Ligi Kuu ya Uingereza, La Liga, Ligi ya Mabingwa Ulaya na mengi zaidi.



Kwa habari zote za michezo, taarifa za kubashiri na promosheni tufuatilie Betway kwenye kurasa zetu za FacebookTwitterInstagram na Youtube. Pakua App ya Betway.
 

Published: 10/31/2022