Hakimiliki ya picha: Getty Images
2021/22 National Basketball Association (NBA) season
Regular Season
Milwaukee Bucks v Oklahoma City Thunders
Fiserv Forum
Milwaukee, USA
Sunday, 6 November 2022
02h00
Milwaukee Bucks na Oklahoma City Thunders watakabana koo kwenye mechi ya
NBA Novemba 6.
Hii itakuwa mechi ya 147 baina ya the Bucks na Thunders katika msimu wa kawaida wa NBA tangu mwaka 1968.
The Bucks wameonyesha ubabe wao kwenye mechi baina ya timu hizi wakiwa wameshinda mara 74 ukilinganisha na 73 kwa faida ya Thunders.
Hakimiliki ya picha: Getty Images
Mechi ya mwisho baina ya timu hizi ilikuwa mnamo Machi 8 2022 katika uwanja wa nyumbani wa Thunders Paycom Center, Oklahoma.
The Bucks walipata ushindi wa alama 142-115 dhidi ya Thunders ambao ulikuwa ushindi wao wa tano mfululizo, Giannis Antetokounmpo akitia kibindoni alama 39.
The Bucks wanaongoza jedwali la ligi ya Eastern Conference huku wakiwa wameandikisha ushindi mara tano na hawajapoteza mechi msimu huu.
Kwingineko, the Thunders wapo katika nafasi ya tisa kwenye kanda ya Wesstern Conference baada ya kuandikisha ushindi mara tatu na kushindwa mara tatu katika mechi sita.
Hakimiliki ya picha: Getty Images
Kocha mkuu wa Bucks Mike Budenholzer amesifia juhudi za Brook Lopez kwenye mchezo kama kichocheo cha ushindi wao wikendi iliyopita.
“Juhudi za Brook kwenye mechi hiyo zilisisimua timu nzima. Zilitusaidia sana,” alisema Budenholzer baada ya ushindi dhidi ya Atlanta Hawks Jumamosi usiku.
“Giannis na Jrue Holiday walifahamu kuwa wana mchezaji mwingine atakaye wasaidia kwenye mechi hiyo.
“Brook ana mchango mkubwa zaidi ya kufunga tu. Ana uwezo mkubwa wa kuzuia na timu inafaidika sana kutokana na juhudi zake.”
Takwimu baina ya timu hizi, mechi tano za mwisho za NBA
Matches - 5
Bucks - 4
Thunders - 1
Bashiri Mpira wa Kikapu na Betway
Betway inakupa uwezo kubashiri mechi zaidi ya 1,000 kwenye michezo zaidi ya 100. Iwe ni mpira wa miguu, mpira wa kikapu, rugby au mchezo wowote unaoupenda, utapata machaguo bora yenye odds bora zaidi.
Kwa habari zote za michezo, taarifa za kubashiri na promosheni tufuatilie Betway kwenye kurasa zetu za Facebook, Twitter, Instagram na Youtube. Pakua App ya Betway.