Hakimiliki ya picha: Getty Images
2022/23 National Basketball Association (NBA) season
Regular Season
Chicago Bulls v Milwaukee Bucks
TD Garden
Boston, USA
Friday, 17 February 2023
03h30
Chicago Bulls na Milwaukee Bucks watapambana kwenye mechi ya ligi ya mpira wa kikapu
National Basketball Association (NBA) Februari 17.
Takwimu baina ya timu hizi
Hii itakuwa ni mara ya 262 baina ya timu hizi kukutana kwenye mechi za NBA tangu mwaka 1968 ilipoanzishwa timu ya Bucks.
The Bulls wameshinda michezo 134 ukilinganisha na mara 127 kwa faida ya Bucks kati ya michezo 261 waliyoshiriki baina yao.
Mchezo wa mwisho baina ya timu hizi.
The Bulls waliibuka na ushindi wa 119-113 timu hizi zilipokutana mara ya mwisho mnamo Desemba 29 2022 huku mchezaji DeMar DeRozan akionyesha mchezo mzuri na kuchangia alama 42 kwenye mchezo huo.
Athari za matokeo ya mechi hii
Dalili zinaashiria kuna uwezekano The Bulls wasifuzu kucheza mechi za muondoano kwani wapo katika nafasi ya 11 kwenye michezo ya Eastern Conference baada ya kushinda mechi 26 na kupoteza mechi 31.
The Bucks ni miongoni mwa timu zinazoshindania taji la michezo ya Eastern Conference wakiwa katika nafasi ya pili baada ya ushindi wa mechi 39 na kupoteza mechi 17.
Wachezaji muhimu
The Bulls wataweka matumaini yao kwa mchezaji DeRozan aliyewapatia alama 42 timu yake ilipotoka nyuma na kuwashinda the Bulls muda wa ziada katika mechi iliyopita.
Kwa upande wa the Bucks, mchezaji Giannis Antetokounmpo atakuwa na majukumu makubwa baada ya kuonyesha mchezo wa kuridhisha kwenye mechi yao dhidi ya the Bulls mnamo Desemba iliyopita.
Hakimiliki ya picha: Getty Images
Nukuu
“Ningefurahi kufanya baadhi ya vitu anavyovifanya,” mchezaji mahiri wa zamani wa NBA Kareem Abdul-Jabbar alisema akimzungumzia Antetokounmpo kwenye mkutano na wanahabari hivi majuzi.
“Unapopata mpira huna sababu ya kutoa pasi kama wewe ni mchezaji wa safu ya ushambulizi. Ni usemi uliokithiri sana enzi zangu kama mchezaji.
"Giannis anaonekana kuelewa haya yote na ushirikiano mzuri kwenye mchezo. Nafurahia mafanikio yake ila ningefurahi zaidi kama ningekuwa na uwezo wa kuingia uwanjani na kufurahi pamoja naye.”
Ratiba ya mechi za NBA – tarehe 16 na 17 Februari
Februari 16 Alhamisi
03:00am - Charlotte Hornets v San Antonio Spurs
03:00am - Indiana Pacers v Chicago Bulls
03:30am - Atlanta Hawks v New York Knicks
03:30am - Boston Celtics v Detroit Pistons
03:30am - Brooklyn Nets v Miami Heat
03:30am - Philadelphia 76ers v Cleveland Cavaliers
04:00am - Memphis Grizzlies v Utah Jazz
04:00am - Oklahoma City Thunder v Houston Rockets
05:00am - Denver Nuggets v Dallas Mavericks
06:00am - Los Angeles Lakers v New Orleans Pelicans
Februari 17 Ijumaa
03:30am - Chicago Bulls v Milwaukee Bucks
04:00am - Minnesota Timberwolves v Washington Wizards
06:00am - Phoenix Suns v Los Angeles Clippers
Bashiri Mpira wa Kikapu na Betway
Betway inakupa uwezo kubashiri mechi zaidi ya 1,000 kwenye michezo zaidi ya 100. Iwe ni mpira wa miguu, mpira wa kikapu, rugby au mchezo wowote unaoupenda, utapata machaguo bora yenye odds bora zaidi.
Kwa habari zote za michezo, taarifa za kubashiri na promosheni tufuatilie Betway kwenye kurasa zetu za Facebook, Twitter, Instagram na Youtube. Pakua App ya Betway.