Hakimiliki ya picha: Getty Images
2022/23 National Basketball Association (NBA) season
Regular Season
Milwaukee Bucks v Memphis Grizzlies
Fiserv Forum
Milwaukee, Wisconsin, USA
Saturday, 8 April 2023
03h00
Milwaukee Bucks na Memphis Grizzlies watamenyana vikali kwenye mechi ya ligi ya mpira wa kikapu,
National Basketball Association (NBA) Aprili 8.
Matokeo baina ya timu hizi
Huu utakuwa ni mchezo wa 53 baina ya timu hizi mbili tangu mwaka 1995 ilipoasisiwa timu ya Grizzlies.
Katika michezo 52 waliyoshiriki baina yao, timu hizi zimetoshana nguvu kwani zimeshinda mechi 26 kila mmoja.
Mchezo wa mwisho baina yao.
The Grizzlies waliibuka na ushindi wa 142-101 dhidi ya the Bucks huku Dillon Brooks akiandikisha alama 18 na kusaidia timu yake kupata ushindi huo mnamo Desemba 16 2022.
Ulikuwa ni ushindi wa saba mfululizo kwa Grizzlies katika mechi hiyo iliyochezewa ukumbini FedExForum.
Athari za matokeo ya mechi hii.
The Bucks wanapigiwa upatu kushinda taji la Eastern Conference kwani wapo kileleni mwa jedwali baada ya kushinda mechi 56 na kupoteza mechi 22.
Kwa upande mwingine, the Grizzlies wanashika nafasi ya pili kwenye michezo ya Western Conference hivyo basi wana nafasi ya kushinda taji hilo baada ya kushinda mechi 49 na kupoteza mechi 29.
Wachezaji muhimu
Giannis Antetokounmpo wa Bucks alikuwa na ushawishi mkubwa kwenye mechi ya Desemba dhidi ya Grizzlies walipoibuka na ushindi. Vile vile, matumaini ya Bucks yatakuwa kwa mchezaji huyo kufukuzia ushindi dhidi ya wapinzani hao.
The Grizzlies watamtazamia mchezaji Ja Morant aliyetia kibindoni alama 25 dhidi ya the Bucks walipokutana Desemba kuwaepusha na matokeo ya awali dhidi ya wapinzani wale wale.
Hakimiliki ya picha: Getty Images
Nukuu
"Lengo ni kuimarika kila uchao na kufurahia mchezo huu,” alisema Antetokounmpo alipoulizwa kuhusu wanaosema anastahili kutuzwa tuzo la mchezaji bora wa NBA maarufu kama MVP mwaka 2023.
"Unapowaza kuhusu tuzo hili unajiongezea shinikizo. Nafurahia nafasi niliyopo sasa hivi. Nafurahia hali yangu.
"Najivunia talanta hii niliyobarikiwa nayo. Ni faraja kubwa kuwa na uwezo wa kufuata na kuishi ndoto yangu niliyokuwa nayo tangu utotoni. Najaribu kuimarika kila siku na kujituma zaidi,” aliongeza.
"Najivunia watoto wangu, ndugu zangu, mama yangu, mama ya watoto wangu na vile vile wachezaji wenzangu.”
Ratiba ya mechi za NBA – tarehe 8-9 Aprili
Aprili 8 Jumamosi
02:00am - Charlotte Hornets v Houston Rockets
02:00am - Indiana Pacers v Detroit Pistons
02:00am - Washington Wizards v Miami Heat
02:30am - Atlanta Hawks v Philadelphia 76ers
02:30am - Boston Celtics v Toronto Raptors
02:30am - Brooklyn Nets v Orlando Magic
03:00am - Milwaukee Bucks v Memphis Grizzlies
03:00am - New Orleans Pelicans v New York Knicks
03:30am - Dallas Mavericks v Chicago Bulls
05:00am - Sacramento Kings v Golden State Warriors
05:30am - Los Angeles Lakers v Phoenix Suns
10:30pm - Utah Jazz v Denver Nuggets
11:00pm - Los Angeles Clippers v Portland Trail Blazers
11:00pm - San Antonio Spurs v Minnesota Timberwolves
Aprili 9 Jumapili
8:00pm - Boston Celtics v Atlanta Hawks
8:00pm - Brooklyn Nets v Philadelphia 76ers
8:00pm - Chicago Bulls v Detroit Pistons
8:00pm - Cleveland Cavaliers v Charlotte Hornets
8:00pm - Miami Heat v Orlando Magic
8:00pm - New York Knicks v Indiana Pacers
8:00pm - Toronto Raptors v Milwaukee Bucks
8:00pm - Washington Wizards v Houston Rockets
10:30pm - Dallas Mavericks v San Antonio Spurs
10:30pm - Denver Nuggets v Sacramento Kings
10:30pm - Los Angeles Lakers v Utah Jazz
10:30pm - Minnesota Timberwolves v New Orleans Pelicans
10:30pm - Oklahoma City Thunder v Memphis Grizzlies
10:30pm - Phoenix Suns v Los Angeles Clippers
10:30pm - Portland Trail Blazers v Golden State Warriors
Chomoka na Odds na ushinde zawadi kubwa
Siku 60 za kwanza za Chomoka Odds zimekamilika, lakini msimu wa soka ndio kwanza umeanza, bado una nafasi ya kushinda pesa taslimu na Free Bet kila wiki, na bila shaka, zawadi kubwa ya Vifaa vya Nyumbani ikiwemo Tv, home theatre, jiko na mashine ya kufulia.
Jisajili na Betway, burudika na kila tukio na amsha amsha ukibashiri kwenye ligi za mpira wa miguu kama;
Ligi Kuu ya Uingereza, La Liga, Ligi ya Mabingwa Ulaya na mengi zaidi.
Kwa habari zote za michezo, taarifa za kubashiri na promosheni tufuatilie
Betway kwenye kurasa zetu za
Facebook,
Twitter,
Instagram na
Youtube. Pakua App ya Betway.