Habari za hivi punde za Soka
Habari za hivi punde za Michezo

Sociedad kuikabili Bilbao inayoonekana kuimarika

11/01/2023 13:23:55
Real Sociedad itakabiliana na Athletic Bilbao kwenye mechi ya La Liga ugani Estadio de Anoeta Januari 14.
 

United waazimia ushindi dhidi ya City

11/01/2023 11:24:04
Manchester United na Manchester City watamenyana katika mechi ya ligi ugani Old Trafford Januari 14 Jumamosi, ikiwa ni dabi ya 189 baina ya timu hizo.

Atletico na Barcelona katika mtanange mkali wa La liga.

06/01/2023 17:59:07
Atletico Madrid na FC Barcelona watakabiliana katika mechi ya ligi kuu Uhispania mnamo Januari 8 ugani Estádio Cívitas Metropolitano.

Mavericks kumenyana na Celtics

06/01/2023 17:50:47
The Dallas Mavericks watacheza dhidi ya Boston Celtics katika mechi ya mpira wa kikapu, National Basketball Association (NBA) ukumbini American Airlines Center Januari 6. 

Bees kusaka ushindi wa kwanza dhidi ya Reds ndani ya miaka 84.

02/01/2023 17:32:17
Brentford wanatarajia kupata ushindi kwa mara ya kwanza dhidi ya Liverpool tangu mwaka 1938 watakapokutana ugani Gtech Community Stadium Jumatatu Januari 2.

Warriors wapania ushindi mwingine dhidi ya Trail Blazers.

29/12/2022 13:48:24

The Golden State Warriors na Portland Trail Blazers watamenyana vikali katika mechi ya ligi ya mpira ya kikapu, National Basketball Association (NBA) mnamo Desemba 31.