Hakimiliki ya picha: Getty Images
2022/23 National Basketball Association (NBA) season
Regular Season
Los Angeles Lakers v Dallas Mavericks
Crypto.com Arena
Los Angeles, USA
Saturday, 18 March 2023
05h30
Los Angeles Lakers watapambana na Dallas Mavericks katika mechi ya ligi ya mpira wa kikapu,
National Basketball Association (NBA) mamno Machi 18.
Takwimu baina ya timu hizi
Hii itakuwa ni mara ya 171 timu hizi kukutana kwenye mechi ya shindano hili tangu mwaka 1980 ambao ni mwaka Mavericks iliasisiwa.
The Lakers wameibuka na ushindi mara 116 ukilinganisha na mara 54 kwa faida ya Mavericks katika jumla ya mechi 170.
Mchuano wa mwisho baina yao
The Lakers walitoka nyuma alama 27 na kuibuka na ushindi wa 111-108 dhidi ya Mavericks katika moja ya mechi ya kusisimua ya msimu mnamo Februari 26 2023.
Mchuano huo uliandaliwa kwenye ukumbi wa American Airlines Center.
Athari ya matokeo ya mchuano huu
Matumaini ya The Lakers kufuzu mechi za mchujo yangali hai kwani wanashikilia nafasi ya sita kwenye mechi za Western Conference baada ya kuandikisha ushindi wa mechi 36 na kupoteza mechi 33.
Hali ni hiyo hiyo kwa upande wa the Mavericks wakiwa katika nafasi ya nane kwenye mechi za Western Conference baada ya kushinda mechi 34 na kupoteza mechi 35.
Wachezaji muhimu
Anthony Davis aliyechangia alama 30 the Lakers walipopata ushindi dhidi ya Mavericks Februari 26 atalenga kusaidia miamba hao kuandikisha ushindi mwingine dhidi ya wapinzani wao.
Luka Doncic aliwapa the Mavericks alama 26 licha ya kupoteza mechi hiyo na atakuwa na uchu wa kuipa timu yake ushindi kwenye mechi ya marudiano.
Hakimiliki ya picha: Getty Images
Nukuu
Kocha wa the Mavericks Jason Kidd alizungumza na vyombo vya habari kuhusu afya ya kikosi chake baada ya kupoteza 104-88 dhidi ya Memphis Grizzlies kwenye ukumbi wa American Airlines Center Machi 13 2023.
"Mnatakiwa kuelewa majeruhi tulio nao. Hii ndio hali yetu ya sasa,” Kidd alisema.
"Kama ilivyo kwa kila mmoja katika ligi hii, ni lazima tushiriki mechi licha ya hali yetu. Tulionyesha mchezo mzuri kipindi cha kwanza hasa ukizingatia tulichezesha wachezaji wasio na uzoefu wa ligi hii.
"Tathmini hali hiyo dhidi ya kikosi kizoefu kilicho na safu imara ya ulinzi.”
Ratiba ya mechi za NBA – tarehe 18 na 19 Machi
Machi 18 Jumamosi
02:00am - Charlotte Hornets v Philadelphia 76ers
02:30am - Atlanta Hawks v Golden State Warriors
02:30am - Cleveland Cavaliers v Washington Wizards
03:00am - Chicago Bulls v Minnesota Timberwolves
03:00am - Houston Rockets v New Orleans Pelicans
03:00am - San Antonio Spurs v Memphis Grizzlies
05:00am - Portland Trail Blazers v Boston Celtics
05:30am - Los Angeles Lakers v Dallas Mavericks
8:00pm - New York Knicks v Denver Nuggets
10:00pm - Los Angeles Clippers v Orlando Magic
Machi 19 Jumapili
02:00am - Indiana Pacers v Philadelphia 76ers
02:00am - Toronto Raptors v Minnesota Timberwolves
03:00am - Chicago Bulls v Miami Heat
03:00am - Memphis Grizzlies v Golden State Warriors
03:00am - Washington Wizards v Sacramento Kings
04:00am - Utah Jazz v Boston Celtics
10:30pm - Brooklyn Nets v Denver Nuggets
10:30pm - Oklahoma City Thunder v Phoenix Suns
11:00pm - San Antonio Spurs v Atlanta Hawks
Bashiri Mpira wa Kikapu na Betway
Betway inakupa uwezo kubashiri mechi zaidi ya 1,000 kwenye michezo zaidi ya 100. Iwe ni mpira wa miguu, mpira wa kikapu, rugby au mchezo wowote unaoupenda, utapata machaguo bora yenye odds bora zaidi.
Kwa habari zote za michezo, taarifa za kubashiri na promosheni tufuatilie Betway kwenye kurasa zetu za Facebook, Twitter, Instagram na Youtube. Pakua App ya Betway.