Habari za hivi punde za Soka
Habari za hivi punde za Michezo

Milan wapania kuisulubu Atalanta.

12/05/2022 09:36:36
AC Milan watakuwa mwenyeji wa Atalanta BC kwenye mechi ya ligi ya Serie A ugani Stadio Giuseppe Meazza Mei 15.
 

Atletico kuwa mwenyeji wa Sevilla, La liga

10/05/2022 14:48:38
Atletico Madrid watamwalika Sevilla FC kwenye mechi ya La Liga  ugani Estadio Wanda Metropolitano mnamo Mei 15.
 

City watarajia kuendeleza ubabe dhidi ya Hammers

10/05/2022 14:36:17
Manchester City watakuwa mgeni wa West Ham United ugani London stadium katika mechi ya premier mnamo Mei 15 jumapili wakiwa na nia ya kutetea taji hilo.
 

Barcelona watamani ushindi dhidi Celta

09/05/2022 11:28:23
FC Barcelona watamwalika Celta Vigo katika mechi ya ligi kuu ya Uhispania ugani Camp Nou Mei 10.
 

Verstappen kumshinikiza zaidi Leclerc mbio za Miami

06/05/2022 14:34:51
Dereva wa Red Bull Racing Max Verstappen atatazamia kumshinikiza zaidi Charles Leclerc wa Ferrari kwenye mbio za Miami Grand Prix mnamo Jumapili Mei 8. 
 

Schauffele atarajia ushindi kwenye Wells Fargo Championship

06/05/2022 14:27:51
Xander Schauffele anatazamia kuendeleza ubabe wake kwa kunyanyua taji la mwaka 2022 la Wells Fargo Championship wikendi hii.