Image copyright: Getty Images
2022 Wells Fargo Championship
US PGA Tour
TPC Potomac at Avenel Farm
Potomac, Maryland, USA
5 - 8 May 2022
Xander Schauffele anatazamia kuendeleza ubabe wake kwa kunyanyua taji la mwaka
2022 la Wells Fargo Championship wikendi hii.
Kwa pamoja na Patrick Cantlay, mmarekani huyo alishinda shindano la hivi maajuzi la Zurich Classic of New Orleans kwa kuwapiki wenzao Sam Burns na Billy Horschel Aprili 24.
Schauffele, ambaye alishinda dhahabu kwenye mashindano ya olimpiki ya mchezaji mmoja la gofu la 2020 kwa wanaume anashikilia nafasi ya 12 kwenye jedwali rasmi la dunia la shirikisho la gofu.
Image copyright: Getty Images
Mchezaji wa gofu mwenye umri wa miaka 28 ameshinda mara tano kwenye mashindano ya PGA tour tangu alipokuwa mchezaji wa kulipwa mwaka 2015 huku ushindi wake wa kwanza na wa pili ukiwa 2017 kwenye shindano la gofu la Greenbrier Classic na Tour Championship.
Schauffele, ambaye ni mzaliwa wa San Diego alishinda taji la gofu la WGC-HSBC Champions mwaka 2018 kwa kushinda muondoano dhidi ya Tony Finau.
Mchezaji huyo aliyeingia kwenye ramani ya dunia kwenye shindano la 2017 PGA Tour alishinda taji la 2019 la Sentry Tournament of Champions kwa kumshinda Gary Woodland.
Schauffele, ambaye nafasi yake kubwa ya ushindi ni T2 kwenye shindano la 2018 Open Championship na 2019 Masters anatazamia kushinda taji lake la sita la PGA tour Jumapili ijayo.
Image copyright: Getty Images
“Cantlay alicheza vizuri sana,” alisema Schauffele baada ya kushinda shindano la gofu la mwaka 2022 Zurich Classic of New Orleans.
“Nilishuhudia kwenye vizuri sana kwa sababu nilikuwa katika nafasi nzuri. Ulikuwa mwanzo mzuri japokuwa nilifanya makosa madogo.
“Tulijitahidi sana kujituma kadri ya uwezo wetu bila kujali wengine walikuwa wanafanya nini.”
Rory McIlroy ndiye mchezaji aliye na mafanikio makubwa katika historia ya mashindano ya gofu ya Wells Fargo Championship ikiwa ameshinda shindano hilo mara tatu.
Washindi watano wa mwisho wa Wells Fargo Championship
2016 - James Hahn - Marekani
2017 - Brian Harman - Marekani
2018 - Jason Day - Australia
2019 - Max Homa - Marekani
2021 - Rory McIlroy - Northern Ireland
Bashiri Gofu na Betway
Ingia uwanjani mchomo mmoja ubashiri gofu na Betway. Betway inakuletea matukio yote ya gofu kutoka michuano mikubwa Duniani kote.
Kwa habari zote za michezo, taarifa za kubashiri na promosheni tufuatilie Betway kwenye kurasa zetu za Facebook, Twitter, Instagram na Youtube. Pakua App ya Betway.