Habari za hivi punde za Soka
Habari za hivi punde za Michezo
19/05/2022 13:53:48
FC Barcelona watakuwa mwenyeji wa Villarreal CF ugani Camp Nou kwenye mechi ligi mnamo Mei 22.
18/05/2022 11:18:02
Tiger Woods anatarajia kushinda shindano la gofu la 2022 PGA na kufuata nyayo za wakongwe wa mchezo huo Walter Hagen na Jack Nicklaus.
17/05/2022 16:11:55
Manchester City watatarajia kushinda taji la ligi kwa mara ya sita ndani ya miaka 11 watakapoialika Aston Villa ugani Etihad Mei 22 Jumapili ambayo itakuwa ni siku ya mwisho ya msimu.
13/05/2022 15:49:27
Chelsea na Liverpool watakutana kwenye mechi ya fainali ya kombe la FA ugani Wembley Jumamosi Mei 14. Hii ni miezi mitatu iliyopita baada ya timu hizi kukutana kwenye fainali ya kombe la EFL.
12/05/2022 11:42:26
Francesco Bagnaia anapania kupata ushindi wa pili mfululizo katika mbio za pikipiki za French MotoGP msimu 2022 atakaposhiriki mbio hizo Mei 15.
12/05/2022 09:43:24
Scottie Scheffler anapigiwa upatu kushinda taji la gofu la AT&A Byron Nelson mwaka 2022 litakaloandaliwa TPC Craig Ranch.