Hakimiliki ya picha: Getty Images
2021/22 Spanish La Liga
Matchday 37
Atletico Madrid v Sevilla FC
Estadio Wanda Metropolitano
Madrid, Spain
Sunday, 15 May 2022
Kick-off is at 18h30
Atletico Madrid watamwalika Sevilla FC kwenye mechi ya
La Liga ugani Estadio Wanda Metropolitano mnamo Mei 15.
Mabingwa hao wawili wa zamani wa La liga watakutana kwa mara ya 57 tangu msimu 1993/94.
Sevilla wamekuwa wababe dhidi ya Atletico kila wanapokutana kwani wameshinda mara 19 dhidi ya mara 18 kwa faida ya Atletico huku mechi 19 zikiishia kwa sare.
Hakimiliki ya picha: Getty Images
Katika mechi ya mwisho ya ligi baina ya timu hizi, Sevilla waliibuka na ushindi wa 2-1 kwenye mechi hiyo iliyochezewa Estadio Ramón Sánchez Pizjuán.
Kwengineko, Atletico walipata ushindi finyu wa 1-0 dhidi ya Real Madrid kwenye mechi yao ya mwisho waliyochezea nyumbani mnamo Mei 8.
Atletico hawajapoteza mechi yoyote ya ligi katika mechi sita za mwisho wakiwa nyumbani Estadio Wanda Metropolitano huku wakiandikisha ushindi mara tano na sare moja.
Kwa upande wa Sevilla, walilazimisha sare ya 1-1 ugenini dhidi ya Villarreal kwenye mechi iliyochezwa Mei 8.
The Red and Whites hawajashindwa katika mechi mbili za mwisho za ugenini za ligi baada ya kuandikisha sare moja na ushindi mara moja kama wageni.
Hakimiliki ya picha: Getty Images
"Tumefanikiwa kupata alama moja dhidi ya wapinzani wagumu,” alisema meneja wa Sevilla Julen Lopetegui baada ya sare dhidi ya Villarreal.
"Tulikuwa na mpinzani aliyewadhibiti na kuziondoa timu kubwa uwanjani. Ulikuwa mchezo mgumu. Walituzidi mara kwa mara.
"Tulikuwa na nafasi nzuri kipindi cha pili wakati Rafa alikuwa uso kwa uso na mlinda lango wa timu pinzani lakini hakufunga. Kandanda ina kanuni moja kuwa ukisamehe unaadhibiwa,” aliendelea.
"Walifanikiwa kutufunga bao. Kwa bahati nzuri timu yetu ina uwezo wa kupambana hadi mwisho na tumefanikiwa kupata alama moja kwenye uwanja mgumu. Imebaki alama moja kuafikia lengo letu.”
Takwimu baina ya timu hizi, mechi 5 za mwisho za ligi.
Matches - 5
Atletico - 1
Sevilla - 2
Draws - 2
Ratiba ya La Liga mchezo wa 37.
Mechi zote kuanza 7:30pm
Mei 15 Jumapili
Athletic Bilbao v CA Osasuna
Atletico Madrid v Sevilla FC
Real Betis v Granada CF
Celta Vigo v Elche CF
Real Mallorca v Rayo Vallecano
Getafe CF v FC Barcelona
Cadiz CF v Real Madrid
RCD Espanyol v Valencia CF
UD Levante v Deportivo Alaves
Villarreal CF v Real Sociedad
Jisajili na Betway, burudika na kila tukio na amsha amsha ukibashiri kwenye ligi za mpira wa miguu kama;
Ligi Kuu ya Uingereza, La Liga, Ligi ya Mabingwa Ulaya na mengi zaidi.
Kwa habari zote za michezo, taarifa za kubashiri na promosheni tufuatilie
Betway kwenye kurasa zetu za
Facebook,
Twitter,
Instagram na
Youtube. Pakua App ya Betway.