Habari za hivi punde za Soka
Habari za hivi punde za Michezo

Inter na Bayern kwenye mechi kali ya UEFA

06/09/2022 13:39:52
Inter Milan watacheza dhidi ya Bayern Munich kwenye mechi ya UEFA Champions kundi C mnamo Septemba 7.
 

Madrid na Betis kutoana kijasho kwenye mechi ya ligi.

02/09/2022 18:20:39
Real Madrid na Real Betis watamenyana ugani Estadio Santiago Bernabéu  katika mechi ya ligi kuu Uhispania mnamo Septemba 3.
 

Espargaró kuingia mbio za San Marino MotoGP na nguvu mpya.

02/09/2022 12:07:57
Aleix Espargaró ataingia kwenye mbio za San Marino Grand Prix na nguvu mpya huku akitarajia kupata ushindi wake wa pili wa msimu huu.
 

Verstappen apania ushindi wa Dutch GP kwa mara nyingine

01/09/2022 10:59:30
Dereva wa Red Bull Racing Max Verstappen anatarajia kuendeleza ubabe wake kwenye mashindano ya mbio za magari za dunia za Formula One msimu katika mbio za Dutch Grand Prix Jumapili Septemba 4.
 

Juventus walenga alama tatu kutoka kwa Spezia

31/08/2022 09:38:43
Juventus FC atamwalika Spezia Calcio katika mechi ya ligi kuu Italia ugani Allianz Stadium mnamo Agosti 31.
 

City watafuta ushindi wa kwanza dhidi ya Reds tangu 1993

31/08/2022 09:12:09
Manchester City watazamia kuendeleza ubabe wao kwenye ligi watakapowaalika Nottingham Forest ugani Etihad Stadium Jumanne Agosti 31.