Juventus walenga alama tatu kutoka kwa Spezia


Hakimiliki ya picha: Getty Images

 

2022/23 Italian Serie A

Matchday 4

Juventus FC v Spezia Calcio 

Allianz Stadium
Torino, Italy 
Wednesday, 31 August 2022
Kick-off is at 21h45 
 
Juventus FC atamwalika Spezia Calcio katika mechi ya ligi kuu Italia ugani Allianz Stadium mnamo Agosti 31.
 
The Old Lady, kama wanavyojulikana Juventus walitoka sare ya 1-1 wakiwa nyumbani dhidi ya AS Roma katika mchezo wa ligi uliopita wa Agosti 27.
 
Juventus hawajashindwa katika mechi tatu zilizopita za ligi huku wakiandikisha ushindi wa mechi moja na sare mbili. 

Moise KeanHakimiliki ya picha: Getty Images

 
Vile vile, Juventus hawajashindwa kwenye mechi tano zilizopita za ligi wakiwa nyumbani ikiwa wameandikisha sare tatu na kupata ushindi mara mbili.
 
"Tulicheza mchezo mzuri lakini matokeo siyo tuliyotarajia. Tulihitaji kuwa na bahati nzuri na pengine kushambulia zaidi. Kwa ujumla nimefurahi tulivyocheza. Kwa sasa mawazo yetu yanahamia mechi ya Jumanne,” alisema mchezaji wa Juventus Danilo baada ya sare na Roma.


Kileleni mwa msimamo na nafasi ya kushinda zawadi bab-kubwa

Chomoka na Odds msimu huu na unaweza kushinda mgao wa mamilioni ya zawadi.
Kuanzia pesa taslimu hadi Free Bets na mzigo wa vifaa vya nyumbani ikiwemo TV, home theatre, jiko na mashine ya kufulia, kuna mechi nyingi za kubashiri kila wiki.

Chomoka na Odds
 
"Tunahitaji kupata matokeo haraka iwezekanavyo. Sharti tujiamini na kujituma zaidi. Tulifanya hivyo lakini tunatakiwa kuepuka makosa madogo yanayowapa fursa wapinzani. Goli moja zaidi lilihitajika ili kupata ushindi.
 
"Timu ilicheza vizuri kwa kutumia mbinu na kazi tuliyoifanya kwenye mazoezi wiki hii. Kazi hii iendelee hivyo hivyo. Niko tayari kusaidia ninapohitajika. Nitafanya kulingana na maagizo ya kocha.”
 
Kwengineko Spezia walitoka sare ya 2-2 wakiwa nyumbani dhidi ya US Sassuolo kwenye mechi ya ligi iliyopita Agosti 27.
 
The Little Eagles hawajapata ushindi wowote kwenye mechi mbili za ligi zilizopita baada ya kuandikisha sare moja na kushindwa kwenye mechi moja.
 
Spezia wamepoteza mechi mbili kati ya mechi tatu za ugenini za mwisho za ligi baada ya ushindi dhidi Udinese Calciao kabla ya kupoteza mikononi mwa Inter Milan.
 
Mechi ya mwisho baina ya Juventus na Spezia katika ligi ilikuwa Machi 6 2022.
 
Juventus waliibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya Spezia kwenye mechi ngumu iliyochezewa ugani Allianz Stadium.
 

Takwimu baina ya Juventus na Spezia, mechi tano za mwisho za ligi.

Mechi - 5
Juventus - 3
Spezia - 1
Sare - 1
 

Ratiba ya mechi za Serie A mchezo wa 4.

 
Agosti 30 Jumanne
 
7:30pm- US Sassuolo v AC Milan 
 
9:45pm- Inter Milan v US Cremonese
 
9:45pm - AS Roma vs AC Monza 
 
Agosti 31 Jumatano
 
7:30pm - Empoli FC v Hellas Verona 
 
7:30pm - UC Sampdoria v SS Lazio
 
7:30pm - Udinese Calcio v ACF Fiorentina
 
9:45pm - Juventus FC v Spezia Calcio 
 
9:45pm - SSC Napoli v US Lecce 
 
Septemba 1 Alhamisi
 
9:45pm - Bologna FC v US Salernitana 
 
9:45pm - Atalanta BC v Torino FC 


Jisajili na Betway, burudika na kila tukio na amsha amsha ukibashiri kwenye ligi za mpira wa miguu kama; Ligi Kuu ya Uingereza, La Liga, Ligi ya Mabingwa Ulaya na mengi zaidi.



Kwa habari zote za michezo, taarifa za kubashiri na promosheni tufuatilie Betway kwenye kurasa zetu za FacebookTwitterInstagram na Youtube. Pakua App ya Betway.

 

Published: 08/31/2022