Habari za hivi punde za Soka
Habari za hivi punde za Michezo

Quartararo atazamia ushindi wa kwanza wa mbio za Aragon MotoGP

16/09/2022 10:46:25
Fabio Quartararo anatazamia kushinda mbio za Aragon Grand Prix kwa mara ya kwanza na kuvunja msururu wa mbio nne bila ushindi.
 

Milan na Napoli kuchuana kwenye mechi Serie A

16/09/2022 09:19:09
AC Milan wataalika SSC Napoli kwenye mechi ya ligi ya Serie A ugani Stadio Giuseppe Meazza Septemba 18.
 

Dortmund wahaha jinsi ya kumdhibiti Haaland

14/09/2022 08:53:50
Erling Haaland anatarajia kuendeleza ubabe wake dhidi ya waajiri wake wa zamani Dortmund, watakapokutana kwenye mechi ya UEFA Champions League siku ya Jumatano Septemba 14.

Mbio za Italian Grand Prix 2022 kung’oa nanga

09/09/2022 10:57:37
Mbio za magari za Italian Grand Prix 2022 zinatarajiwa kung’oa nanga Monza ambao ni mji uliopo eneo la Lombardy Italia Septemba 11. 
 

Inter wapania ushindi dhidi ya Torino

08/09/2022 18:35:40
Inter Milan watakuwa mwenyeji wa Torino FC kwenye mechi ya ligi ugani Stadio Giuseppe Meazza mnamo Septemba 10.
 

City kukabana koo na Spurs baada ya kupoteza alama mbili dhidi ya Villa

08/09/2022 18:28:22
Manchester City na Tottenham watakabiliana kwenye mechi ya ligi ugani Etihad mnamo Septemba 10 Jumamosi.