Milan na Napoli kuchuana kwenye mechi Serie A


Hakimiliki ya picha: Getty Images

 

2022/23 Italian Serie A

Matchday 7

AC Milan v SSC Napoli 

Stadio Giuseppe Meazza 
Milano, Italy 
Sunday, 18 September 2022
Kick-off is at 21h45 
 
AC Milan wataalika SSC Napoli kwenye mechi ya ligi ya Serie A ugani Stadio Giuseppe Meazza Septemba 18.
 
Rossoneri walipata ushindi wa 2-1 ugenini dhidi ya UC Sampdoria katika mchezo wa ligi wa mwisho Septemba 10.
 
Hivyo basi, Milan walikuwa hawajapoteza mechi yoyote ya ligi katika michezo 22 iliyopita baada ya kuandikisha ushindi mara 15 na kupata sare 7.

Stefano Pioli - Milan managerHakimiliki ya picha: Getty Images
 
 
Vile vile, Rossoneri hawajapoteza mechi yoyote ya ligi katika mechi 11 wakiwa nyumbani huku wakiandikisha sare tatu na ushindi mara nane ugani Stadio Giuseppe Meazza.
 
“Kuna uwezekano timu hizo zitakosa huduma za wachezaji mahiri Rafael Leao na Victor Osimhem,” alisema meneja wa Milan Stefano Pioli kuelekea mchezo huo.
 
"Pengine tutakosa wachezaji zaidi kwa sababu Ante Rebic hatoweza kucheza. Tulikuwa na mechi ngumu wiki hii na bado kuna mechi nyingine ya UEFA kwa wachezaji hawa ambayo itawaathiri.
 
"Tunajiwazia kuhusu hali yet una vile vile hali ya Napoli. Leao ni mchezaji muhimu kwetu lakini tutatafuta suluhu ya tatizo hilo.”

Luciano SpallettiHakimiliki ya picha: Getty Images
 
 
Kwengineko Napoli walipata ushindi wa 1-0 nyumbani dhidi ya Spezia Calcio katika mechi yao ya mwisho ya ligi Septemba 10.
 
Kufuatia matokeo hayo, the Little Donkeys hawajashindwa katika mechi kumi za ligi walizocheza nyumbani huku wakiandikisha sare mbili na kushinda mechi nane
 
Vile vile, Napoli hawajapoteza mechi katika mechi tano walizocheza ugenini baada ya kuandikisha sare moja na kushinda mechi nne za ligi wakiwa ugenini.
 
Mechi ya mwisho ya ligi baina ya Milan na Napoli ilikuwa Machi 6 2022.
 
Milan walipata ushindi wa 1-0 dhidi ya Napoli katika mechi hiyo iliyochezwa ugani Stadio Diego Armando Maradona.
 

Tawkimu baina ta timu hizi kwenye mechi tano za mwisho za ligi.

Mechi - 5
Milan - 2
Napoli - 2
Sare - 1
 

Ratiba ya mechi za Serie A mchezo wa saba

  
Septemba 16 Ijumaa
 
9:45pm - US Salernitana v US Lecce 
 
Septemba 17 Jumamosi
 
4:00pm - Bologna FC v Empoli FC 
 
7:00pm- Spezia Calcio v UC Sampdoria 
 
9:45pm - Torino FC v US Sassuolo
 
Septemba 18 Jumapili
 
13:30pm - Udinese Calcio v Inter Milan 
 
4:00pm - US Crmonese v SS Lazio 
 
4:00pm - ACF Fiorentina v Hellas Verona 
 
4:00pm - AC Monza v Juventus FC 
 
7:00pm - AS Roma v Atalanta BC 
 
9:45pm - AC Milan v SSC Napoli


Jisajili na Betway, burudika na kila tukio na amsha amsha ukibashiri kwenye ligi za mpira wa miguu kama; Ligi Kuu ya Uingereza, La Liga, Ligi ya Mabingwa Ulaya na mengi zaidi.



Kwa habari zote za michezo, taarifa za kubashiri na promosheni tufuatilie Betway kwenye kurasa zetu za FacebookTwitterInstagram na Youtube. Pakua App ya Betway.
 

Published: 09/16/2022