Hakimiliki ya picha: Getty Images
2022/23 English Premier League
Matchday 7
Manchester City v Tottenham Hotspur
Etihad Stadium
Manchester, England
Saturday, 10 September 2022
Kick-off is at 17h30
Manchester City na Tottenham watakabiliana kwenye
mechi ya ligi ugani Etihad mnamo Septemba 10 Jumamosi.
Timu hizi zinashabihiana kimatokeo baada ya michezo sita ya ligi msimu huu huku City ikiwa mbele ya Spurs kutokana na ubora wa magoli na nyuma ya viongozi Arsenal kwa alama moja.
Vijana wa Pep Guardiola walipoteza ushindi Jumamosi iliyopita na kuishia 1-1 dhidi ya Aston Villa ugani Villa Park ambapo mchezaji Erling Haaland alifunga goli la kumi la ligi msimu huu.
Hakimiliki ya picha: Getty Images
The Citizens walipoteza michezo yote miwili ya ligi dhidi ya Tottenham msimu uliopita. Guardiola amekiri kuwa watahitaji kushambulia kikamilifu iwapo wana haja ya ushindi wikendi hii.
"Hatukuweza kutengeneza nafasi katika kipindi cha kwanza zaidi ya tulipofika karibu na eneo la goli lao kupitia Kyle Walker na Phil Foden. Hatukushambulia kwa umakini,” alisema raia huyo wa Uhispania.
Kileleni mwa msimamo na nafasi ya kushinda zawadi bab-kubwa
Chomoka na Odds msimu huu na unaweza kushinda mgao wa mamilioni ya zawadi.
Kuanzia pesa taslimu hadi Free Bets na mzigo wa vifaa vya nyumbani ikiwemo TV, home theatre, jiko na mashine ya kufulia, kuna mechi nyingi za kubashiri kila wiki.
“Hatukuwa na mchezo mbaya kwa viwango. Walipata shuti moja tu dakika tisini na bahati mbaya wakafunga. Tulizembea katika kuzuia na tukawapa nafasi ya kupata goli zuri,”
Meneja wa Tottenham Antonio Conte kwa upande wake alifurahishwa na nafasi zilizotengenezwa na wachezaji wake; 23 huku 10 zikilenga shabaha na kufanikiwa ushindi wa 2-1 dhidi ya Fulham.
Harry Kane alipata goli la tano msimu huu na sasa anashikilia nafasi ya tatu katika rekodi ya wafungaji bora wa ligi ya premier kwa magoli 188.
Hakimiliki ya picha: Getty Images
Conte alisema kuwa walistahili ushindi huo japokuwa alilalama kwa kuwa waliruhusu goli huku akiongeza kuwa anataka kuona wachezaji wake wakishambulia zaidi.
"Tutafurahia ushindi huu kwa sababu tulistahili,” alisema raia huyo wa Italia. “Tulicheza vizuri sana. Nilipenda tulivyocheza; kasi na malengo.
"Wachezaji wangu walinifurahisha walivyocheza. Niliwajulisha baada ya mchezo kwa sababu nahisi tulijituma sana na kufanya mambo yanayostahili.
Ili kushinda mechi sharti ufunge magoli. Tanatakiwa kuimarisha ufungaji wetu na kuongeza idadi ya magoli tunayofunga. Tukifanya hivyo tutatulia na kufurahia mchezo hadi kipenga cha mwisho. But, at the end, you know very well that to win, you have to score. If I have to find a situation that
"Kwa kiasi kidogo sijafurahishwa kwa sababu tuliruhusu goli. Sio shindwa kubwa kwa sababu tumepata alama tatu na jumla ya alama 14 kwenye jedwali. Tumekuwa na mwanzo mzuri msimu huu.”
Takwimu baina ya timu hizi, mechi tano za mwisho a ligi
Mechi - 5
Man City - 1
Tottenham - 4
Sare - 0
Jisajili na Betway, burudika na kila tukio na amsha amsha ukibashiri kwenye ligi za mpira wa miguu kama;
Ligi Kuu ya Uingereza, La Liga, Ligi ya Mabingwa Ulaya na mengi zaidi.
Kwa habari zote za michezo, taarifa za kubashiri na promosheni tufuatilie
Betway kwenye kurasa zetu za
Facebook,
Twitter,
Instagram na
Youtube. Pakua App ya Betway.