Espargaró kuingia mbio za San Marino MotoGP na nguvu mpya.


Hakimiliki ya picha: Getty Images


 

2022 MotoGP Season

2022 San Marino Grand Prix

Round 14
Red Bull Ring
Spielberg, Austria
Sunday, 4 September 2022

Aleix Espargaró ataingia kwenye mbio za San Marino Grand Prix na nguvu mpya huku akitarajia kupata ushindi wake wa pili wa msimu huu.
 
Mwendeshaji huyo wa Aprilia alikuwa na mbio za kusahau za msimu uliopita za San Marino MotoGP alipomaliza kwenye nafasi ya tano, nafasi moja nyuma ya ndugu yake mdogo Pol Espargaró wa Honda.
 
Espargaro amekuwa na matokeo yasiyo ya kuridhisha msimu huu na alimaliza kwenye nafasi ya sita kwenye mbio za hivi majuzi za Austrian MotoGP Agosti 21.

Francesco Bagnaia
Hakimiliki ya picha: Getty Images
 
 
Akianza kwenye safu ya tatu na akishikilia nafasi ya tisa kwa ubora wa muda wa kufuzu, Espargaro alijikaza hadi kuingia nafasi ya tano wakati wa mbio hadi alipomaliza kwenye nafasi ya sita mwishoni mwa mbio.
 
Mwendeshaji wa Ducati Francesco Bagnaia alishinda mbio za 2022 za Austrian MotoGP huku Fabio Quartararo wa Yamaha na Jack Miller wa Ducati wakimaliza katika nafasi ya pili na tatu mtawalia.
 
Quratararo bado anazidi kushikilia nafasi ya kwanza kwenye jedwali la waendeshaji la 2022 huku nafasi ya tatu ikitwaliwa na Bagnaia wakati mbio hizi zikiendelea kupamba moto.
 
Espargaro yupo katika nafasi ya pili kwenye jedwali na kuna uwezekano atapunguza nafasi iliyopo kati yake na Quratararo iwapo atashinda mbio za San Marino MotoGP.

Maverick Vinales
Hakimiliki ya picha: Getty Images
 
 
"Japokuwa ukitazama matokeo yanaashiria hali tofauti, nimefurahishwa na matokeo yangu,” alisema baada ya mbio za Austrian MotoGP.
 
"Tulifahamu wazi tutakuwa na changamoto kwenye baadhi ya mikondo lakini hakika hatuna jinsi zaidi ya kupambana vilivyo. Ni muhimu kujaribu kupata matokeo mazuri kadri hali inavyoruhusu na tulifanya hivyo leo.
 
"Changamoto zetu zinatokea kwenye kuanza na kusimama. Tuna imani kuna mikondo zaidi itakayotufaa na tutaweza kuonyesha uwezo na ubora wetu.”
 
Ducati wanaongoza kwenye jedwali la waundaji huku wakifuatiwa na Yamaha katika nafasi ya pili kisha nafasi ya tatu inashikiliwa na Aprilia.
 

Matokeo ya mbio za pikipiki za San Marino MotoGP 2021

 
Mshindi: Francesco Bagnaia - Ducati 
Nafasi ya pili-Up: Fabio Quartararo - Yamaha 
Nafasi ya tatu: Enea Bastianini - Ducati 
 

Bashiri Motosport na Betway


Betway inakupa uwezo kubashiri mechi zaidi ya 1,000 kwenye michezo zaidi ya 100. Iwe ni sokamotorsportmpira wa kikapurugby au mchezo wowote unaoupenda, utapata machaguo bora yenye odds bora zaidi.



Kwa habari zote za michezo, taarifa za kubashiri na promosheni tufuatilie Betway kwenye kurasa zetu za FacebookTwitterInstagram na Youtube. Pakua App ya Betway.

 


 
 
 
 

Published: 09/02/2022