Hakimiliki ya picha: Getty Images
2022/23 UEFA Champions League
Group C
Inter Milan v Bayern Munich
Stadio Giuseppe Meazza
Milan, Italy
Wednesday, 7 September 2022
Kick-Off is at 22h00
Inter Milan watacheza dhidi ya Bayern Munich kwenye mechi ya
UEFA Champions kundi C mnamo Septemba 7.
Miamba hao wa Italia walipata ushindi mwembamba wa 1-0 ugenini dhidi ya Liverpool kwenye mechi yao ya mwisho ya shindano hili iliyochezwa Machi 8 2022.
Kabla ya mechi dhidi ya Liverpool, Inter walikuwa wamepoteza mechi mbili za UEFA mfululizo.
Hakimiliki ya picha: Getty Images
Hata hivyo, Inter Milan walipoteza mechi yao ya mwisho ya shindano hili wakiwa nyumbani dhidi ya Liverpool ikifikisha kikomo msururu wa mechi mbili bila kushindwa.
Kwengineko, Bayern walilazimishwa sare ya 1-1 nyumbani na Villarreal katika mchezo wao wa shindano hili mnamo Aprili 12 2022.
Mabingwa hao wa ligi ya Ujerumani hawajapata ushindi wowote katika mechi mbili za mwisho za shindano hili huku wakishindwa mara moja na kupata sare moja.
Vile vile, The Bavarians hawajashinda mechi yoyote kati ya mechi mbili za mwisho za shindano hili walizocheza ugenini baada ya kuandikisha sare moja na kupoteza mechi moja.
Hakimiliki ya picha: Getty Images
“Inter wana mfumo tofauti. Wanacheza mchezo mzuri,” alisema meneja wa Bayern Julian Nagelsmann.
'Sitozungumzia suala hilo sana kwa sasa kwa sababu wanaweza kubadilisha. Hata hivyo, sidhani watacheza mfumo wa kuzuia peke yake.
"Lazima tuonyeshe juhudi kama tulivyofanya kwenye michezo ya nyuma.”
Mechi ya mwisho baina ya Inter Milan na Bayern Mucnich kwenye shindano hili ilikuwa mnamo Machi 15 2011 ugani Allianz Arena.
Inter walipata ushindi wa 3-2 dhidi ya Bayern kwenye mechi hiyo.
Takwimu baina ya timu hizi, mechi za UEFA.
Mechi- 5
Bayern - 2
Inter - 2
Sare - 1
Ratiba ya mechi za UEFA Champions League mchezo wa kwanza.
Septemba 6 Jumanne
7:45pm- Dinamo Zagreb v Chelsea
7:45pm- Borussia Dortmund v FC Copenhagen
10:00pm- Salzburg v AC Milan
10:00pm- Celtic v Real Madrid
10:00pm- RB Leipzig v Shakhtar Donetsk
10:00pm- Sevilla v Manchester City
10:00pm- PSG v Juventus
10:00pm- Benfica v Maccabi Haifa
Septemba 7 Jumatano
7:45pm - Ajax v Rangers
7:45pm - Eintracht Frankfurt v Sporting Lisbon
10:00pm- Napoli v Liverpool FC
10:00pm- Atletico Madrid V Porto
10:00pm- Club Brugge v Bayer Leverkusen
10:00pm- FC Barcelona v Viktoria Plzen
10:00pm- Inter Milan v Bayern Munich
10:00pm- Tottenham Hotspur v Marseille
Jisajili na Betway, burudika na kila tukio na amsha amsha ukibashiri kwenye ligi za mpira wa miguu kama;
Ligi Kuu ya Uingereza, La Liga, Ligi ya Mabingwa Ulaya na mengi zaidi.
Kwa habari zote za michezo, taarifa za kubashiri na promosheni tufuatilie
Betway kwenye kurasa zetu za
Facebook,
Twitter,
Instagram na
Youtube. Pakua App ya Betway.