Habari za hivi punde za Soka
Habari za hivi punde za Michezo

Rahm apania kushinda taji la Tournament of Champions

05/01/2022 13:20:13
Mchezaji namba moja wa golfu duniani Jon Rahm anapania kushinda taji la Tournament of Champions kwa mara ya kwanza kabisa. 

Napoli wasaka ushindi muhimu Turin

04/01/2022 08:25:04
Napoli watakuwa wageni wa Juventus ugani Allianz Stadium katika mechi ya ligi jioni ya Alhamisi januari 6 2022. Mechi itang’oa nanga saa nne kasorobo, majira ya afrika ya kati. 

Miamba wa England, Chelsea na Liverpool kukabana koo

28/12/2021 16:31:38
Chelsea na Liverpool watakabana koo katika mechi ya ligi mnamo jumapili januari 2 2022. 

Celtic watafuta ushindi wa mwaka mpya dhidi ya Magic

28/12/2021 16:20:59
The Boston Celtics watapania kupata ushindi mwaka mpya dhidi ya Orlando Magic katika mechi ya NBA TD Garden, Boston jimbo la Massachussets, asubui ya Jumatatu januari 3 saa saba asubui. 
 

Getafe wanuia kuzima moto wa Real Madrid

28/12/2021 16:11:16
Getafe CF watakuwa wenyeji wa Real Madrid ugani Coliseum Alfonso Pérez katika mechi ya ligi Januari 2. 

Leicester wapania kuchelewesha azma ya Liverpool

28/12/2021 15:57:53
Leicester City watachuana na Liverpool katika mechi ya ligi mnamo Disemba 28.