Celtic watafuta ushindi wa mwaka mpya dhidi ya Magic


Hakimiliki ya picha: Getty Images
 

Boston Celtics v Orlando Magic

2021-22 NBA Regular Season

Monday 3 January 2022
TD Garden, Boston, Massachusetts
Tip-off at 02:00 
 
The Boston Celtics watapania kupata ushindi mwaka mpya dhidi ya Orlando Magic katika mechi ya NBA TD Garden, Boston jimbo la Massachussets, asubui ya Jumatatu januari 3 saa saba asubui. 
 
The Celtics wapo katikati ya jedwali la Eastern conference baada ya matokeo mseto ya msimu ikiwemo kushindwa 111-107 wikendi iliyopita na Golden State Warriors. Jayson Tatum aliipatia Celtcs alama 27 huku Jaylen Brown akichangia alama 20 kwa Celtics waliokuwa bila wachezaji watano kwa maambukuzi ya Corona. 

Jayson Tatum
Hakimiliki ya picha: Getty Images
 
 
“Katika robo ya pili tuliwapa alama nne za bwerere. Tulijiskia vibaya mno,” Tatum alisema. 
 
Kwa upande mwingine, The Magic wamekuwa na msimu usio mzuri na sasa wanapigana kutoshuswa daraja wakiwa chini ya jedwali pamoja na Detroit Pistons. Wikendi iliyopita walipoteza 115-105 nyumbani dhidi ya mahasimu wao wa Florida, Miami Heat. 
 
Orlando was not helped by having multiple injuries and players unavailable due to Covid protocols. They even had to sign four players from their G League franchise in nearby Lakeland to meet minimum player requirements: Aleem Ford, Admiral Schofield, B.J. Johnson and Hassani Gravett. Orlando walikosa wachezaji waliokuwa na majeraha pamoja na maambukizi ya Corona. Hali hii ilipelekea timu hiyo kusajili wachezaji kutoka G league ili kufikia idadi ya wachezaji inahohitajika katika mchezo. Wachezaji hao ni; Aleem Ford, Admiral Schofield, B.J. Johnson na Hassani Gravett.

Jay
Hakimiliki ya picha: Getty Images
 
 
"Napenda sana timu yetu ilivyocheza,” alisema kocha wa Magic Jmahl Mosley baada ya changamoto walizopitia katika mechi hiyo. “Napenda walivyocheza na walivyojituma hadi mwisho wa mchezo.” 
 
Takwimu zinaonyesha timu hizi zimekutana mara 121 katika mechi za NBA za ligi kutoka mwaka 1989-90 huku Boston ikishinda mara 70 dhidi ya 51 ya Orlando. Mechi ya mwisho ya ligi baina ya timu hizi ilikuwa Novemba 2021 ambapo Celtic ilishinda 92-79 ikiwa ugenini. Jaylen Brown alichangia alama 28. Ulikuwa ni ushindi wa saba mfululizo dhidi ya Magic. 
 

Takwimu baina ya Boston Celtics dhidi Orlando Magic, NBA

Mechi: 121
Celtics: 70
Magic: 51

 

Bashiri Mpira wa Kikapu na Betway


Betway inakupa uwezo kubashiri mechi zaidi ya 1,000 kwenye michezo zaidi ya 100. Iwe ni mpira wa miguu, mpira wa kikapu, rugby au mchezo wowote unaoupenda, utapata machaguo bora yenye odds bora zaidi.




Kwa habari zote za michezo, taarifa za kubashiri na promosheni tufuatilie Betway kwenye kurasa zetu za FacebookTwitterInstagram na Youtube. Pakua App ya Betway.


 

Published: 12/28/2021