Leicester wapania kuchelewesha azma ya Liverpool


Hakimiliki ya picha: Getty Images

 

2021/22 English Premier League

Matchday 20

Leicester City vs Liverpool FC 

King Power Stadium
Leicester, England
Tuesday, 28 December 2021 
Kick-off is at 23h00  
 
Leicester City watachuana na Liverpool katika mechi ya ligi mnamo Disemba 28. 
 
Hii itakuwa ni mara ya 31 timu hizi kukutana tangu kuasisiwa kwa ligi ya premier.
 
Liverpool wameibuka na ushindi mara 16, Leicester mara nane na mechi 6 kutoka sare kati ya mechi hizo 31. 
 
Mara ya mwisho timu hizi kukutana katika ligi ilikuwa Februari 13 2021 ambapo Leicester waliibuka na ushindi wa nane dhidi ya Liverpool. 
 
Mechi hiyo iliyochezewa King Power Stadium iliishia kwa ushindi wa Leicester, 3-1 dhidi ya Liverpool. 

Wilfred Ndidi
Hakimiliki ya picha: Getty Images
 
 
"Imekuwa vigumu kwa sababu hatujaweza kufanya mazoezi pamoja,” alisema kiungo Wilfred Ndidi huku Leicester ikitazamiwa kucheza baada mlipuko wa Covid-19 kambini mwao. 
 
"Ni sharti tufuate maagizo na imekuwa changamoto kidogo kwa sababu hatujawa pamoja na kila mchezaji amekuwa akifanya mazoezi kivyake kutokana na Covid lakini tutajitahidi sana. 
 
"Tunahisi kama ni muda mrefu zaidi tangu mechi ya mwisho ya Leicester. Tumekuwa nyumbani kwa muda. Mechi inakuja na hatujafanya mazoezi vizuri kwa pamoja. Tunajisikia vizuri kwa sasa lakini bado kikosi hakijawa na uhuiano

Mohamed Salah
Hakimiliki ya picha: Getty Images
 
 
Katika mechi iliyochezwa Disemba 12, Leicester wakiwa nyumbani waliichapa Newcastle 4-0.
 
Leicester wameandikisha ushindi mara mbili mfululizo katika mechi mbili za mwisho za nyumbani. 
 
kwa upande mwingine, Liverpool wakiwa ugenini walilazimisha sare ya 2-2 dhidi ya Tottenham Hotspurs mnamo Disemba 19. 
 
Liverpool hawajashindwa katika mechi tatu za mwisho za ugenini baada ya kuandikisha ushindi mara mbili na kulazimisha sare moja. 
 

Takwimu baina ya timu hizi, mechi 5 za mwisho za ligi

 
Mechi - 5
Leicester City - 1
Liverpool - 3
Sare - 1


Jisajili na Betway, burudika na kila tukio na amsha amsha ukibashiri kwenye ligi za mpira wa miguu kama; Ligi Kuu ya Uingereza, La Liga, Ligi ya Mabingwa Ulaya na mengi zaidi.



Kwa habari zote za michezo, taarifa za kubashiri na promosheni tufuatilie Betway kwenye kurasa zetu za FacebookTwitterInstagram na Youtube. Pakua App ya Betway.
 
 

Published: 12/28/2021