Habari za hivi punde za Soka
Habari za hivi punde za Michezo
28/06/2022 17:19:38
Mchezaji nambari nne duniani katika mchezo wa tenisi Rafael Nadal anatarajia kupata taji lake la tatu kubwa (Grand Slam) mwaka huu atakaposhiriki shindano la wimbledon litakaloanza mnamo Juni 27.
22/06/2022 15:17:13
Rory McIlroy anatazamia kushinda shindano la gofu la Travelers Championship kwa mara ya kwanza katika maisha yake ya mchezo wa gofu.
22/06/2022 15:12:55
Fabio Quartararo ana imani ya kutetea kwa mafanikio taji la mbio za Dutch Grand Prix atakaposhiriki mbio hizo.
17/06/2022 11:49:16
Dereva wa Red Bull Racing Max Verstappen anatarajia kuendeleza msururu wa matokeo mazuri msimu huu wa Formula One atakaposhiriki mbio za Canadian Grand Prix Jumapili June 9.
17/06/2022 11:27:30
Shindano la gofu la US Open 2022 litachezwa kuanzia tarehe 16 hadi 19 Juni Brookline, Massachusetts, Boston, Marekani. Haya yatakuwa makala ya 122 ya shindano hilo.
14/06/2022 15:24:04
Fabio Quartararo anatazamia kuendeleza msururu wake wa matokeo mazuri atakaposhiriki mbio za pikipiki za German Grand Prix mnamo Juni 19.