Habari za hivi punde za Soka
Habari za hivi punde za Michezo
11/08/2022 16:47:02
AC Milan itamwalika Udinese Calcio ugani Stadio Giuseppe Meazza kwenye mechi ya ligi kuu ya Italia mnamo Agosti 13.
11/08/2022 16:39:30
Tottenham watakuwa mgeni wa Chelsea ugani Stamford Bridge Jumapili ya Agosti 14 katika mechi ya ligi kuu Uingereza.
11/08/2022 16:28:43
UD Almeria watakuwa mwenyeji wa Real Madrid katika mechi ya ligi kuu ya Uhispania ugani Estadio de los Juegos Mediterráneos Agosti 14.
05/08/2022 10:04:54
Rickie Fowler ana imani kuwa ataibuka na ushindi wa shindano la gofu la Wyndham Championship kwa mara ya kwanza litakapoandaliwa Sedgefield Country Club.
05/08/2022 09:30:53
Liverpool watakuwa wageni wa Fulham ugani Craven Cottage wikendi ya ufunguzi wa msimu mpya wa ligi ya premier 2022/23 huku wakipania kushinda taji dhidi ya Manchester City ifikapo mwisho wa msimu.
03/08/2022 17:36:33
Mbio za pikipiki za British Grand Prix 2022, zinazojulikana kama Monster Energy British Grand Prix pia zitang’oa nanga katika Kijiji kitwaacho Silverstone nchini Uingereza Agosti 7.