Almeria kucheza dhidi ya mabingwa, Madrid


Hakimiliki ya picha: Getty Images

 

2022/23 Spanish La Liga

Matchday 1

UD Almeria v Real Madrid  

Estadio de los Juegos Mediterráneos 
UD Almeria, Spain
Sunday, 14 August 2022 
Kick-off is at 22h00 CAT

UD Almeria watakuwa mwenyeji wa Real Madrid katika mechi ya ligi kuu ya Uhispania ugani Estadio de los Juegos Mediterráneos Agosti 14.
 
The Red and White wamerejea katika ligi kuu kwa mara ya kwanza tangu msimu 2014-15 walipopoteza 3-2 dhidi Valencia CF katika mechi yao ya mwisho ya ligi mnamo Mei 23 2015.  
Almeira hawajashinda mechi yoyote ya ligi katika mechi tano za ligi za mwisho huku wakiandikisha sare moja na kushindwa katika mechi nne.

Vile vile, The Red and Whites hawajashinda mechi yoyote ya ligi kati ya mechi tatu zilizopita huku wakiandikisha sare moja na kushindwa mechi mbili.
 
Kwengineko, Madrid wakiwa nyumbani walitoka sare ya 0-0 dhidi ya Real Betis kwenye mechi ya mwisho ya msimu 2021-22 iliyochezwa Mei 22.

Sare hiyo iliendeleza msururu wa mechi tatu kwa madrid bila kushindwa katika ligi huku wakiandikisha sare mbili mfululizo na ushindi mmoja.
 
Hata hivyo, Madrid hawajashinda katika mechi mbili za mwisho za ligi wakiwa ugenini huku wakiandikisha sare moja na kushindwa katika mechi moja.  

Carlo Ancelotti - Madrid manager
Hakimiliki ya picha: Getty Images
 
 
“Uwezo wet una uzoefu umetokana na wachezaji wakongwe tulio nao hapa pamoja na vijana wenye kujituma sana,” alisema meneja wa Madrid Carlo Ancelotti kabla ya msimu 2022-23.
 
"Ni vizazi viwili tofauti lakini lengo lao ni moja; kuchezea timu ya Real Madrid. Ni muhimu kuwa na wachezaji waliopata mafanikio makubwa lakini bado wana njaa ya mafanikio zaidi.
 
"Sio vigumu. Ni faraja kubwa kushinda Champions League kwa sababu hisia hizo unabakia nazo.
 

Kileleni mwa msimamo na nafasi ya kushinda zawadi bab-kubwa

Chomoka na Odds msimu huu na unaweza kushinda mgao wa mamilioni ya zawadi.
Kuanzia pesa taslimu hadi Free Bets na mzigo wa vifaa vya nyumbani ikiwemo TV, home theatre, jiko na mashine ya kufulia, kuna mechi nyingi za kubashiri kila wiki.
Chomoka na Odds

 
"Unapambana sana kutetea nafasi hiyo isichukuliwe na mtu mwingine. Hii inakuwa ni motisha kubwa kuendelea kushinda zaidi.”
 
Mechi ya mwisho baina ya Almeria na Madrid kwenye ligi ilikuwa mnamo tarehe was on 29 Aprili 2015.
 
Madrid ilipata ushindi wa 3-0 dhidi ya Almeria katika mechi hiyo iliyochezewa ugani Estadio Santiago Bernabeu.
 

Takwimu baina ya timu hizi katika mechi tano za mwisho za ligi 

Mechi - 5
Almeria - 0
Madrid - 5
Sare - 0
 

Ratiba ya mechi za La Liga mchezo wa kwanza.

 
 
Agosti 12 Ijumaa
 
10:00pm- CA Osasuna v Sevilla FC 
 
Agosti 13 Jumamosi
 
6:00pm - Celta Vigo v RCD Espanyol 
 
8:00pm - Real Valladolid v Villarreal CF 
 
10:00pm - FC Barcelona v Rayo Vallecano 
 
Agosti 14 Jumapili
 
6:30pm - Cadiz CF v Real Sociedad
 
8:30pm - Valencia CF v Girona FC 
 
11:00pm - UD Almeria v Real Madrid
 
Agosti 15 Jumatatu
 
6:30pm- Atheltic Bilbao v Real Mallorca 
 
8:30pm - Getafe CF v Atletico Madrid
 
10:30pm - Real Betis v Elche CF 


Jisajili na Betway, burudika na kila tukio na amsha amsha ukibashiri kwenye ligi za mpira wa miguu kama; Ligi Kuu ya Uingereza, La Liga, Ligi ya Mabingwa Ulaya na mengi zaidi.



Kwa habari zote za michezo, taarifa za kubashiri na promosheni tufuatilie Betway kwenye kurasa zetu za FacebookTwitterInstagram na Youtube. Pakua App ya Betway.
 

Published: 08/11/2022