Hakimiliki ya picha: Getty Images
2022 Wyndham Championship
US PGA Tour
Sedgefield Country Club
Greensboro, North Carolina, USA
3-7 August 2022
Rickie Fowler ana imani kuwa ataibuka na ushindi wa shindano la gofu la
Wyndham Championship kwa mara ya kwanza litakapoandaliwa Sedgefield Country Club.
Raia huyo wa Marekani alishikilia nafasi ya nne kwenye jedwali rasmi la gofu duniani aliposhinda shindano la gofu la 2016 la Abu Dhabi HSBC Golf Championship.
Fowler ambaye ni mshindi mara tano wa PGA Tour na pia mshindi wa kimataifa mara tatu, alimaliza katika nafasi ya pili kwenye shindano la gofu la Masters la mwaka 2018.
Hakimiliki ya picha: Getty Images
Mkazi huyo wa California hajapata ushindi msimu huu japokuwa alikuwa akiongoza katika shindano la gofu la CJ Cup 2021 kabla ya kumaliza wa tatu nyuma ya mshindi Rory Mcllroy na Collin Moriokawa. native hasn’t won the current season, but he led The 2021 CJ Cup at the Summit after 54 holes and finished tied for third behind champion Rory McIlroy and Collin Morikawa.
Mchezaji huyo alifanya vizuri katika shindano la gofu la Wells Fargo Championship 2022 na pia katika shindano la 2022 la PGA Championship mwezi Mei.
Fowler ambaye ni mchezaji mpya wa mwaka PGA 2010 alimaliza nafasi bora 2016 kati ya mashindano mawili ya Wyndham Championship aliyoshiriki hapo awali.
Akiwa katika nafasi ya 133 FedExCup na nafasi ya 165 katika jedwali rasmi la gofu duniani, Fowler anatarajia kushinda shindano la Wyndham Championship wikendi hii na kuimarisha nafasi kwenye jedwali.
Hakimiliki ya picha: Getty Images
“Rickie anawavutia sana mashabiki mahali popote,” alisema Mark Brazil ambaye ni mkurugenzi mtendaji wa shindano la Wyndham Championship.
“Amekuwa mmoja kati ya wachezaji wetu watano maarufu duniani kwa zaidi ya miaka kumi iliyopita. Zaidi ya hayo, ni mmoja kati ya watu wazuri katika shindano.
"Tunafurahia kushuhudia Rickie akicheza wiki ijayo,” alisema Brazil akimzungumzia mshindi wa tuzo la Ben Hogan 2008.”
Sam Snead ndiye mchezaji mwenye mafanikio makubwa katika historia ya shindano la Wyndham Championship ikiwa amelishinda mara nane; 1938, 1946, 1949, 1950, 1955, 1956, 1960 na 1965.
Washindi watano wa mwisho wa shindano la gofu la Wyndham Championship
2017 - Henrik Stenson - Sweden
2018 - Brandt Snedeker - Marekani
2019 - J. T Poston - Marekani
2020 - Jim Herman - Marekani
2021 - Kevin Kisner - Marekani
Bashiri Gofu na Betway
Ingia uwanjani mchomo mmoja ubashiri gofu na Betway. Betway inakuletea matukio yote ya gofu kutoka michuano mikubwa Duniani kote.
Kwa habari zote za michezo, taarifa za kubashiri na promosheni tufuatilie Betway kwenye kurasa zetu za Facebook, Twitter, Instagram na Youtube. Pakua App ya Betway.