akimiliki ya picha: Getty Images
2022/23 Italian Serie A
Matchday 1
AC Milan v Udinese Calcio
Stadio Giuseppe Meazza
Milano, Italy
Saturday, 13 August 2022
Kick-off is at 19h30
AC Milan itamwalika Udinese Calcio ugani Stadio Giuseppe Meazza kwenye
mechi ya ligi kuu ya Italia mnamo Agosti 13.
Rossoneri wakiwa ugenini waliitandika US Sassuolo 3-0 katika mechi ya mwisho ya msimu 2021-22 iliyochezwa Mei 22.
Kwa sasa, Milan hawajashindwa kwenye mechi 16 za ligi huku wakiandikisha ushindi mara 13 na kupata sare tatu.
Hakimiliki ya picha: Getty Images
Vile vile, Rossoneri hawajashindwa katika mechi nane za mwisho za ligi wakiwa nyumbani baada ya kuandikisha sare tatu na kushinda mechi tano ugani Stadio Giuseppe Meazza.
"Ilitia moyo kuona wachezaji wachanga wakifanya vizuri. Juhudi za klabu hii kusaidia wachezaji wachanga zilichangia pakubwa katika maamuzi yangu kujiunga na timu hii,” mchezaji mpya wa Milan Charles de Ketelaere alisema.
Kileleni mwa msimamo na nafasi ya kushinda zawadi bab-kubwa
Chomoka na Odds msimu huu na unaweza kushinda mgao wa mamilioni ya zawadi.
Kuanzia pesa taslimu hadi Free Bets na mzigo wa vifaa vya nyumbani ikiwemo TV, home theatre, jiko na mashine ya kufulia, kuna mechi nyingi za kubashiri kila wiki.
"Timu hii imekuwa ikiwapa vijana wachanga nafasi nyingi. Ni matumaini yangu nitapata nafasi kuonyesha uwezo wangu.”
Chomoka na Odds msimu huu na unaweza kushinda mgao wa mamilioni ya zawadi.
Kuanzia pesa taslimu hadi Free Bets na mzigo wa vifaa vya nyumbani ikiwemo TV, home theatre, jiko na mashine ya kufulia, kuna mechi nyingi za kubashiri kila wiki.
"Paolo Maldini ni mchezaji mwenye sifa nyingi katika klabu hii. Nilifurahi sana kuongea naye na ana ushawishi mkubwa hadi sasa. Kwa ujumla, mipango ya klabu hii ilichangia sana kufanya maamuzi ya kuja hapa,” aliendelea.
"Kaká alikuwa mchezaji mkubwa katika klabu hii. Hata hivyo, nina mtindo wangu wa kucheza ambao ni tofauti. Ni matumaini yangu nitasaidia AC Milan na kuleta mchango wangu.”
Kwengineko, Udinese walimaliza msimu 2021-22 kwa ushindi wa 4-0 dhidi ya US Salernitana katika mechi iliyochezwa Mei 22.
Ushindi huo dhidi ya Salernitana ulifikisha kikomo msururu wa mechi tatu katika ligi bila ushindi kwa Udinese huku wakiandikisha sare moja na kushindwa mara mbili.
Udinese walikuwa hawajashindwa katika mechi tano za mwisho za ligi wakiwa ugenini baada ya kuandikisha sare mbili na kushinda mechi tatu.
Mchezo wa mwisho baina ya Milan na Udinese katika ligi ulikuwa mnamo Februari 25 2022.
Mechi hiyo iliishia sare ya 1-1 na ilichezewa ugani Stadio Giuseppe Meazza.
Takwimu baina ya timu hizi katika mechi tano za ligi za mwisho
Mechi - 5
Milan - 2
Udinese - 0
Sare - 3
Ratiba ya mechi za Serie A mchezo wa kwanza
Majira ya Afrika ya Kati
Agosti 13 Jumamosi
7:30pm - AC Milan v Udinese Calcio
7:30pm - UC Sampdoria v Atalanta BC
9:45pm - UC Lecce v Inter Milan
9:45pm - AC Monza v Torino FC
Agosti 14 Jumapili
7:30pm - ACF Fiorentina v US Cremonese
7:30pm - SS Lazio v Bologna FC
9:45pm - US Salernitana v AS Roma
9:45pm - Spezia Calcio v Empoli FC
Agosti, 15 Jumatatu
7:30pm - Hellas Verona v SSC Napoli
9:45pm - Juventus FC v US Sassuolo
Jisajili na Betway, burudika na kila tukio na amsha amsha ukibashiri kwenye ligi za mpira wa miguu kama;
Ligi Kuu ya Uingereza, La Liga, Ligi ya Mabingwa Ulaya na mengi zaidi.
Kwa habari zote za michezo, taarifa za kubashiri na promosheni tufuatilie
Betway kwenye kurasa zetu za
Facebook,
Twitter,
Instagram na
Youtube. Pakua App ya Betway.