Nadal atamani taji la kwanza la Wimbledon tangu 2010


Hakimiliki ya picha: Getty Images

 

2022 Wimbledon Championships

ATP Tour

All England Lawn Tennis and Croquet Club
London, England
27 June - 10 July 2022
 
Mchezaji nambari nne duniani katika mchezo wa tenisi Rafael Nadal anatarajia kupata taji lake la tatu kubwa (Grand Slam) mwaka huu atakaposhiriki shindano la wimbledon litakaloanza mnamo Juni 27.
 
Mhispanyola huyo ameonyesha mchezo mzuri tangu kurejea baada ya kusumbuliwa na jeraha mwanzoni mwa 2022 huku akifanikiwa kushinda Australian Open na French Open.
 
Nadal ameshinda mashindano manne kati ya mashindano saba aliyoshiriki mwaka huu na kuponea kidogo kushinda shindano la tano alipopoteza dhidi ya Taylor Fritz kwenye fainali ya shindano la ATP Masters 1000 Indian Wells.
 
 
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 36 ameshinda mashindano mawili kwenye uwanja wa nyasi London; 2008 na 2010 na ametaja mwaka 2010 ulikuwa wa kufana sana kwake kwani pia alishinda mashindano ya tenisi ya Roland Garros na US Open.
 
Nadal alipata matibabu ya mguu wake baada ya shindano la French Open mwezi jana na alipata sindano za kutia ganzi kwa wiki mbili mfululizo jambo ambalo hataki kupitia tena kwenye shindano la Wimbledon.
 
"Wimbledon ni kipaumbele kwangu tangu zamani. Ikiwezekana nitacheza na dawa za kupunguza makali ya maumivu,” alisema.
 

Washindi watano wa mwsiho wa Wimbledon

 
2021 - Novak Djokovic (Serbia)
2020 - Novak Djokovic (Serbia)
2019 - Novak Djokovic (Serbia)
2018 - Roger Federer (Uswizi)
2017 - Andy Murray (Uingereza)
 

Bashiri tenisi mtandaoni

Bashiri manguli kwenye michuano bora ya tenisi kutoka Wimbledon hadi Roland Garros. Jisajili leo na anza kubashiri kwenye machaguo tofauti ambayo tenisi inakupatia; kutoka 1x2 matokeo ya mechi, bashiri kwa mchezaji wako unayempenda hadi kwenye bashiri nyingi kama Mshindi wa Set. Chochote unachochagua kufanya, Betway ina chaguo kwaajili yako.

Kwa habari zote za michezo, taarifa za kubashiri na promosheni tufuatilie Betway kwenye kurasa zetu za FacebookTwitterInstagram na Youtube. Pakua App ya Betway
 
 
 
 

Published: 06/28/2022