BETWAY Tanzania Home
Local
International
Home
Soka
Ligi Kuu
Njia ya
Michezo Mingine
CSR
Winners
Football
Atletico, Barcelona kumenyana La Liga
29/09/2021 15:52:26
Atletico Madrid itakutana na FC Barcelona kwenye Ligi kuu ya Uhispania- La Liga katika uwanja wa Estadio Wanda Metropolitano jumamopsi Octoba 02.
PSG, Man City kukutana Ubingwa wa Ulaya
27/09/2021 16:11:02
Paris Saint Germain (PSG) itapambana na Manchester City mechi ya kundi A, Ligi ya klabu Bingwa Ulaya mnamo Septemba 28.
Madrid kuwafyeka Villarreal
24/09/2021 12:19:06
Real Madrid watacheza dhdi ya Villarreal CF ligi kuu ya Uhispania- La Liga katika uwanja wa Estadio Santiago Bernabéu Septemba 25.
Milan yalenga kuendeleza mwanzo mzuri Serie A
24/09/2021 11:30:53
AC Milan watakuwa wanalenga kuendeleza mwanzo mzuri ambao wamekuwa nao msimu huu wa 2021/22 Ligi kuu ya Italia Serie A watakapocheza dhdi ya Spezia Jumamosi alasiri.
Mtanange wa miamba Chelsea na Man City
23/09/2021 09:24:47
Chelsea inawakaribisha Manchester City mechi ya Ligi kuu ya England katika Stamford Bridge tarehe 25 Septemba.
Juventus yamulika ushindi wa kwanza katika Serie A
21/09/2021 11:00:27
Juventus watakuwa wanatafuta ushindi wa kwanza kabisa katika msimu huu wa 2021/22 wa Ligi kuu ya Italia- Serie A jumatano jioni.
Cadiz Yajitapa Itakomesha Barcelona
21/09/2021 10:48:42
Cadiz CF itapimana nguvu na FC Barcelona mechi ya ligi kuu ya Uhispania, La liga, katika uwanja wa Ramón de Carranza Stadium tarehe 23 Septemba.
Wababe Juventus na Milan kumenyana Serie A
16/09/2021 15:05:59
Juventus itapimana nguvu na wababe wenzao AC Milan mechi ya ligi kuu ya Italia Serie A Jumapili tarehe 19 Septemba katika uwanja wa Allianz.
Spurs na Chelsea kuwasha Derby ya London
15/09/2021 09:24:35
Tottenham Hotspur watawakaribisha Chelsea Jumapili hii katika mechi ya ligi kuu ya England 2021/22 inayotarajiwa kuwa derby ya London ya kusisimua sana.
Mtanange mkubwa waja- Barcelona na Bayern
14/09/2021 09:20:40
Barcelona watatazamia kudhihirisha nia yao katika Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya watakapowakaribisha Bayern Munich kwenye mechi ya kundi E jumanne jioni.
|<
<
...
31
32
33
34
35
36
37
>
>|