Hakimiliki ya picha: Getty Images
2022 FIFA World Cup Qualifier
Group J - Matchday 5
Tanzania v Democratic Republic of Congo
Benjamin Mkapa National Stadium
Dar es Salaam, Tanzania
Thursday, 11 November 2021
Kick-off is at 16h00
Tanzania itamenyana na jamuhuri ya kidemokrasia ya Congo katika
mtanange wa kufuzu kombe la dunia mwaka 2022 wa kundi J Novemba 11.
Vijana wa Taifa Stars walipata ushindi muhimu wa goli 1-0 dhidi ya timu ya taifa ya Benin katika mchezo wao wa mwisho wa kufuzu wa kundi hilo. Oktoba 10.
Oktoba 7, Benin waliichapa Tanzania bao moja bila jawabu hivyo basi kupelekea kuwa mchezo wa nne kwa vijana wa Taifa Stars bila ushinda wowote katika mashindano yote.
Hakimiliki ya picha: Getty Images
Kabla ya kushindwa na Benin nyumbani kwenye mechi hiyo ya Oktoba 7, Tanzania walikuwa hawajapoteza mchezo wowote nyumbani katika michezo mitano ya nyuma huku wakirekodi ushindi mara tatu na kutoa sare mbili.
“Tumeanza vizuri mechi za kufuzu. Kila mtu anafurahi lakini bado kibarua tunacho,” alisema mkufunzi wa Taifa Stars Kim Poulsen.
“Ni matokeo mazuri tu lakini kazi bado ipo. Ukilinganisha na timu nyingine katika kundi letu, tuko chini katika msimamo wa FIFA. Huu ndio mwanzo tu kwenye barabara yenye changamoto nyingi.
"Wachezaji wengi katika timu yao wanacheza Ulaya. Hali kwetu ni tofauti.”
Kwingineko, Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo ilipoteza mchezo wao ugenini dhidi ya Madagascar 1-0 katika mchezo wao wa kundi J Oktoba 10.
Ushindi huo wa Madagascar ulivunja msururu wa mechi nne bila kushindwa kwa faida ya Chui, kama inavyojulikana timu ya DR Congo kwenye mashindano yote huku wakiandikisha sare tatu na ushindi mara moja.
DR Congo hawajapata ushindi wowote katika mechi nne zilizopita wakiwa ugenini. Wameshindwa mara tatu na kupata sare moja.
Mara ya mwisho timu hizi mbili kukutana ilikuwa Februari 12 2021.
Mechi hiyo ya kufuzu kombe la dunia 2022 ilitoka sare ya 1-1 katika uwanja wa nyumbani wa timu ya TP Mazembe, Stade du TP Mazembe.
Takwimu baina ya mataifa haya mawili
mechi - 7
Tanzania - 3
DR Congo - 2
Sare - 2
Jisajili na Betway, burudika na kila tukio na amsha amsha ukibashiri kwenye ligi za mpira wa miguu kama;
Ligi Kuu ya Uingereza, La Liga, Ligi ya Mabingwa Ulaya na mengi zaidi.
Kwa habari zote za michezo, taarifa za kubashiri na promosheni tufuatilie
Betway kwenye kurasa zetu za
Facebook,
Twitter,
Instagram na
Youtube. Pakua App ya Betway.