Football

Sociedad kuzima nyota ya Madrid

02/12/2021 11:02:57
Real Sociedad watakuwa wenyeji wa Real Madrid katika mechi ya ligi uwanjani Reale Arena, kwa jina lingine Estadio de Anoeta mnano Disemba 4.
 

Napoli kuwaalika Atalanta

02/12/2021 10:51:32
SSC Napoli itakuwa mwenyeji wa Atalanta BC uwanjani Estadio Diego Armando Maradona katika mechi ya ligi Disemba 4.

Genoa kutonesha zaidi vidonda vya Milan

30/11/2021 10:16:36
Genoa CFC wataialika AC Milan katika mechi ya ligi kuu Italia ugani Stadio Comunale Luigi Ferraris Disemba mosi.

Man United na Arsenal kufufua uhasama wao wikendi hii

30/11/2021 09:48:33
Uwanja wa Old Trafford utakuwa mwenyeji wa mtanange mkali wa mechi ya ligi ya England Manchester United watakapowaalika Arsenal wikendi ya Disemba 2.
 

Chelsea kuendeleza ubabe dhidi ya Man United.

26/11/2021 14:10:17
Chelsea itapania kuzoa alama zote tatu itakapoialika Manchester United jumapili hii ugani Stamford Bridge katika mechi ya ligi.
 

Timu tano za kuangalia kwenye Ligi ya Mabingwa

23/11/2021 10:22:15
Michuano bora zaidi ya vilabu Ulaya inaendelea wakati timu 32 zikichuana kuwania nafasi ya kuelekea Urusi Mei 28. Kurejea kwa mashabiki uwanjani kumeongeza morali za timu nyingi zimewakaribisha kwa bashasha.
 

Juventus na Atalanta kukabana koo

23/11/2021 09:59:46
Juventus FC wataialika Atalanta BC ugani Allianz Stadium katika mchezo wa ligi kuu ya Italia Novemba 27.
 

Villarreal na mpango wa kuiangusha Barcelona.

22/11/2021 13:33:20
Villarreal CF na Barcelona watakutana Novemba 27 katika mechi ya ligi kuu ya Uhispania ugani Estadio de la Cerámica.

Villarreal wapania kuibwaga Man United kwa mara ya tatu

22/11/2021 13:19:15
Villarreal CF watamenyana na Manchester United katika mechi ya ligi ya mabingwa kundi F, mnamo Novemba 23. 

Liverpool kuikabili timu ya Arsenal iliyoimarika zaidi

18/11/2021 15:25:14
Liverpool watapania kuandikisha matokeo mazuri wakiwa nyumbani dhidi ya Arsenal katika mechi ya ligi jumamosi hii ugani Anfield.